Ni miaka sasa bado tunasumbuliwa na ukosefu wa umeme wa uhakika. Tatizo hili likekuwa sugu. Mamlaka husika imekaa kimya utadhani swala hili haliwahusu.
Kuna fahari gani kwa wafanyakazi wa TANESCO kwenda ofisini/kazini kila siku, kupata mshahara kila mwezi na wakati kutoa huduma imekuwa...