Najiuliza sana kuhusu hii. Je, muungano ukifa, vyama vya siada ambavyo vipo bara na visiwani vitabaki upande gani, au Sheria pia unasemaje kuhusu hilo suala, au inawezekana chama cha siasa kikabaki pande zote mbili kwa maana ya Tanganyika na hicho hicho chama Zanzibar kama CCM?
Naombeni maoni...