Sina maneno mengi wakuu , Nawasalimu katika yeye atupae pumzi ya kila siku, na naenda kwenye mada
Ndugu zangu ,kwa mjibu wa clip inayozunguka mitandaon toka Ikulu ya Zanzibar ni kwamba watanganyika tumepigwa na kitu kizito sana, na kwa kua inasemekana hii ardhi walipewa, lakini sasa wamejisahau...