Kwa mfano unawezaje kujua sasa serikali inafanya jambo kwa ajili ya Tanganyika na sasa inafanya kwa ajili ya Muungano??
Je, Rasirimali zilizopo Tanganyika ni mali ya Muungano ama ni mali ya Tanganyika. Faida inayopatikana kutokana na Utalii, madini, uuzaji mazao nje, ni mali ya Tanganyika ama...