NAKUPENDA SANA KIJIJINI KWETU
Tulio wengi Tumetokea kijijini kama sio sisi basi wazazi wetu na kama sio wazazi wetu basi hata babu na bibi zetu.
Sisi ni wale watoto wa tabaka la walio wengi. Yaani tabaka la watu masikini.
Leo tupo mjini tunapambana. Maisha yetu bado sio mazuri na hatujafikia...