Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti.
Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana.
Mbaya zaidi ni mita 30...
Wanajukwaa nimeona nilite jambo hapa jukwaani nikiamini kuna macho ya Serikali yanaweza kuwepo yakaliona wakalichukua kwa maslahi zaidi na kulifanyia kazi au wakawa nao na mtazamo tofauti wenye tija zaidi wakaubanisha tukajua na kuondoa wasiwasi juu ya uwajibikaji wao.
Nimekuwa nikipita kwenye...
Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.
Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia
Pale kona ya Makaburini Luventry nilikuta kijana mmoja na Girlfriend au Mke wake wamekatwa mapanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.