Kwa mara kadhaa nimekuwa nikisafiri toka Mtwara kwenda Dar. Kuna baadhi ya maeneo Kwa kipande cha barabara ya mkoa wa Lindi kuna MASHIMO makubwa sana. Mashimo husika yanaweza kusababisha ajali ama uharibifu wa gari.
Baadhi ya mashimo yapo maeneo ya hatari sana. Unakuta kuna mteremko na lami...