tanzaia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  2. Mpende utakavyo lakini usimwamini kupitiliza

    #1 . Mpende utakavyo mpenda lakini usimwamini kupitiliza . #2. Kama unataka kumpoteza harakat , mjali sanaaa alaf mpe kila anachokitaka. #3. "Wee date na wote wawili uone yup yupo serious " hivo ndo gals wanaambiana. #4. Kama mwanaume Mungu, Wana, maokoto na dua za Mama yako ndo zitakusave ...
  3. Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  4. Kama kuna aliyewahi kufanya manunuzi ali express naomba experience

    Jamani kama kuna aliyewahi kufanya manunuzi ali express naomba experience jinsi wanavyo fanya kaz
  5. N

    SoC04 Mfumo Mbovu wa Elimu: Kikwazo Kikuu kwa Maendeleo ya Tanzania

    Mfumo Mbovu wa Elimu: Kikwazo Kikuu kwa Maendeleo ya Tanzania Elimu ndio kitovu cha maendeleo katika Nyanja zote za Maisha katika nchi na Maisha binafsi ya mtu, kwa bahati mbaya mfumo ambao husimamia ubora wa elimu unasahau kuwa hatuwezi kuwa na kizazi chenye udadisi, ubunifu na uongozi bora...
  6. SoC04 Achievements of health status in Tanzania 🇹🇿 in the next five to ten years

    In order to achieve the desired health status in Tanzania in the next five to ten years, innovative approaches must be implemented to bring about significant benefits to our country. Tanzania faces various health challenges, including limited access to healthcare services, inadequate healthcare...
  7. M

    SoC04 Tanzania Tuitakayo; The vision for tomorrow

    In the heart of East Africa lies a nation teeming with promise and potential. Tanzania, with its diverse landscapes, vibrant culture, and resilient people, stands at the threshold of transformation. As the sun sets on the present, let us cast our gaze toward the horizon, envisioning a Tanzania...
  8. SoC04 Leo, 1967 na Kesho

    Ninaandika story hii nikiwa ghetto, hivyo hii ni story ya Ghettominds. Hivi karibu kumekuwa na ongezeko la lawama kwa serikali na vijana wa nchi hii. Imekuwa ni kama mpira wa mchezo wa tennis kwani hakuna anaetaka kukaa na kitenesi hivyo basi kuishia kutupiana tuu kitenesi. Kitenesi nacho...
  9. Ni nani aliyemuua Komando Muhammad Tamimu🤔? (Sehemu ya 3️⃣)

    "Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya mkasa huu. Kama ni embe, basi hapa tumefika kwenye kokwa, ndo kwanza utamu wa simulizi hii unaenda...
  10. SoC03 Ushiriki wa Sekta Binafsi katika usambazaji wa umeme Tanzania

    Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
  11. R

    Ajikata uume wake na kuutupa. Akipona jeraha lake atafikishwa Mahakamani kujibu shtaka linalomkabili

    Mwanaume mmoja ajulikaye kwa jina la Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula wilayani Kwimba mkoani Mwanza amejikata uume wake na kisha kuutupa kwa kutumia kisu kwa madai kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa unamsumbua. Kamanda wa polisi mkoa...
  12. Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

    Asalaam alykhum. Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa. Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu. Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…