tanzania 2050

  1. M

    David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn. Pato la kila mmoja wetu litafikia TZS 20M

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wafahamu kesho ya Tanzània yao ni bora kama tu hali ya Umoja na mshikamamo iliyopo Sasa itaendelea kuwa ilivyo leo. David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana...
  2. Raphael Alloyce

    Rais wa Msitu

    Hadithi ya Uongozi na Mamlaka Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii, inayoongozwa na sheria zake za asili na kuishi, ilijikuta ikihitaji kiongozi. Hivyo ndivyo hadithi...
  3. R

    An urgent call to the Commissioner General

    The Closure of EFD Machines and its Impact on Tanzanian Taxpayers The Tanzania Revenue Authority (TRA) holds a vital role in our nation's progress, tasked with the essential duty of collecting and accounting for government revenue through taxes. This responsibility, however, should be executed...
  4. R

    A Wake-Up Call for Public-Private Partnerships in Tanzania

    Introduction Almost a decade ago, Tanzania embraced the Public-Private Partnership (PPP) model, heralding it as a transformative approach to boost infrastructure development, spur economic growth, and improve public services. The PPP framework was codified into law, supported by a dedicated...
  5. Mapandeson

    Maoni yangu katika kusaidia kuwakamata wapigaji kwenye manunuzi ya umma

    TANZANIA TUITAKAYO - UNUNUZI WA UMMA. Manunuzi, ni kitendo cha kununua au kuuza hifaamike tu kuwa nibidhaa au huduma kutoka katika chanzo cha msambazaji au mtoa huduma lakini chanzo hiko kiwe halali katika utoaji wa huduma, manunuzi yavitu ambavyo haviko halali yani vitu vya wizi hatuseme...
  6. D

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Tanzania nchi ya kipekee yenye uchumi imara na kiwango cha chini cha maradhi yasioambukiza ((non-communicable diseases (ncds))

    Robo karne ijayo Tanzania itakuwa katika nafasi bora ya kiuchumi hili ni jambo la kutia moyo. Hakuna jambo jema likosalo changamoto zake, changamoto kubwa wa ukuaji wa uchumi ni ongezeko la watu wenye maradhi yasioambukiza na ongezeko kubwa la vifo vinavyotokana na maradhi yasioambukiza NCDs...
Back
Top Bottom