tanzania comedy awards

  1. Damaso

    Stay Strong Zero Brainer

    8.2.2025 pale kwa Tata Madiba, Zero Brainer alishinda TUZO ya mtengeneza maudhui bora ya michezo wa mwaka kutoka TIKTOK. Tuzo hii ililipa TAIFA la Tanzania heshima kubwa sana, alikuwa anashindana na watu wakubwa kutoka mataifa mbali mbali duniani. Maudhui yake Zero brainer ndio mtanzania...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

    Rais Samia akishiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania Ukumbi wa The Super Dome Februari 22, Dar es Salaam. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards Updates.... - Rais Samia apewa tuzo ya Champion of Comedy; nami nasema...
Back
Top Bottom