Habari ndugu wana JF.
Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada.
Ni kwamba katika bank ya Tanzania commecial bank zamani ikiitwa Posta bank tawi la Pamba Nyamagana kumekuwa na ucheleweshaji wa kutoa mikopo kwa watumishi na wastaafu wanaomba mkopo kupitia bank hio kwa tawi la Pamba lililopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.