WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema lazima Katiba mpya izingatie matakwa ya wananchi ili kuliweka taifa katika hali ya utulivu.
Amewataka Watanzania kutoiga vurugu zilizotokea kwenye nchi za Libya, Sirya, Tunisia na Misri badala yake waendelee kuwa wavumilivu huku akiwaomba kutotumia...