Gazeti la nchini Uingereza la The National Voice limechapisha ripoti maalum ya kiuchunguzi inayoeleza kufichuliwa kwa mtandao mkubwa wa kikanda wa usafirishaji haramu wa silaha, dawa za kulevya, na fedha haramu unaohusisha viongozi na nchi kadhaa za Afrika.
Ripoti hiyo iliyopewa kichwa cha...