Tanzania inabadilisha sheria ili kuvutia teknolojia na uwekezaji, lakini je, mabadiliko hayo yatamnufaisha Mtanzania wa kawaida?
Serikali inapanga kupitia upya zaidi ya sheria 1,000 ili kuunda mfumo wa kisheria unaoweza kusaidia matumizi ya akili bandia (AI), biashara za kidijitali na...