Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea kiuchumi.
Majaliwa ametoa kauli hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo February 06,2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbozi...