Utangulizi
Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo.
Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
kuhusu
maoni
mfumo
portal
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzaniatanzaniamining
Habari wanajukwaa!
Tunayo furaha kubwa kutangaza kuwa TESE sasa inatengeneza Haidroliki Seals zenye ubora wa kimataifa hapa hapa Tanzania kwa ajili ya mitambo na mashine zako
Kwa nini uchague hydraulic seals za TESE?
🔹 Ubora wa Kimataifa: Seal zetu zinakidhi viwango vya kimataifa na...
Mh. Waziri hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa wizara hii muhimu kwa Taifa hili.
Pamoja na hongera nyingi ila ninaomba kukujulisha kuwa wizara yako imeshindwa kuisimamia Tume ya Madini nchini, kwasababu baada ya kuteuliwa yapo mambo ambayo kwa muda mfupi yameanza kuharibika tena kwa haraka na...
Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa.
Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa.
Waziri...
Habari wana jamii, natafuta ajira yeyote inayohusiana na maswala ya madini.
Elimu yangu ni shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini(Bsc Mining Engineering), nimesajiliwa ERB kama graduate engineer, nina uzoefu wa miaka mitatu nimefanya kazi quarry mine na gypsum mine, na uwezo wa kutumia design...
Report in The Citizen By Beldina Nyakeke
The Acacia North Mara Goldmine acting general manager has called for peace and harmony between the mine and the host community. Currently, the mine is surrounded by a wall that separates the firm from the host community.
Acacia mining is advocating for...
An open letter to His Excellency, President John P. Magufuli, President of Tanzania
WATER, WATER EVERYWHERE - BUT NO WATER FOR THE RESIDENTS OF TARIME, TANZANIA?
In our Holy Bible: Ecclesiastes 1:9
That which has been, is that which will be, And that which has been done, is that which will be...