This goes without say. Hata humu ndani ya jumuiya yetu ya jamii forum utagundua udhahifu mkubwa sana kwenye suala la namna tunavyojenga hoja, au kujibu hoja, au kutetea hoja. Suala la kujiuliza ni zipi sababu za udhaifu wetu huu mkubwa? je ni elimu yetu mbovu? je ni jinsi tulivyokuwa groomed? je...