tanzania music awards winners 2024

Tanzania Music Awards are national music awards held annually in Tanzania. They are also known as the Kilimanjaro Music Awards or the Kili Music Awards after their sponsor (Kilimanjaro Premium Lager). The awards were established in 1999 by the National Arts Council (BASATA) under the Tanzanian Ministry of Education and Culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Tuzo za TMA tunazipenda lakini makosa haya yanakwaza na yameshusha hadhi nzima ya shughuli yenu!

    Wakuu. Siku ya Jumamosi taifa zima macho yao yalikuwa pale The Superdome kushuhudia tuzo kubwa za Tanzania music awards lakini kiukweli vitu ambavyo tuliahidiwa na kitu tulichokutana nacho ni vitu viwili tofauti. Tuzo tuliahidiwa kuwa zitakuwa na standard ya kimataifa lakini naweza kusema...
  2. Washindi wa tuzo za Tanzania Music Awards 2024

    Wakuu, Tuzo za muziki Tanzania, Tanzania Music Awards zinafanyika leo 19 Oktoba pale Superdome Masaki ambapo washindi watatangazwa pamoja na performance kali kufanyika. Wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za mwaka huu ni pamoja na Marioo, Harmonize, Abigail Chams, Yammi, Zuchu, Nandy na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…