1. Mechi ilikuwa nzuri kwa upande wetu na hasa binafsi nilifurahishwa sana na upangaji wa kikosi pale Fahdu alipomweka Awesu Awesu kucheza namba 10 na Augustine Okajepha kucheza kiungo wa juu yaani namba ila kocha alinikera mno alipomtoa Awesu Awesu wakati akiwa Bado anautaka mpira huku...
Kwa wale wote walio angalia game ya Prison na Simba, kwenye uchambuzi wa dakika 45 za mwanzo, ilionekana Simba kapiga shuti moja lililolenga goli na moja lisilolenga, kitu ambacho si sahihi hata wao wachambuzi walikiri hazipo sawa.
Je, ni leo tu wamekosea? au ni mbinu za makusudi ? Na vipi za...
Inakata moto kipindi cha 2. Dakika 20 zamwisho wachezaji wanahema tu. Yani kocha ana mzuka ila wachezaji wako hoi.
Tukikutana na Singida Black Stars sijui itakuwaje.
Soma Pia: Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024
Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba katika dimba la Sokoine.
Kitu Cha tofauti katika uwanja huo na viwanja vingine ni kuwa utaratibu wa Sokoine stadium magari yanaruhusiwa kuingia ndani ya uwanja
Tazama magari hayo ya polisi yalivyo mengi. Hivi hawawezi...
Baada ya kutoka kuchapika dhidi ya mtani wake leo Simba SC anakibarua kizito mbele ya wanajelajela Tanzania Prisons
Tanzania Prisons VS Simba SC |
NBC Premierleague |
Sokoine Mbeya |
Oktoba 22, 2024
4:00 PM
Dakika, 5 Simba wanapata goli la kuongoza
Dakika,13 Simba wamekuwa na umiliki mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.