Tanzania imetangaza rasmi azma yake ya kugombea kiti kisicho cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kwa kipindi cha mwaka 2029–2030, huku ikiahidi kuendeleza mchango wake katika juhudi za kulinda amani na usalama wa kimataifa.
Akizungumza katika Mjadala Mkuu wa Kikao cha...