Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN ),Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili litakalofanyika mwaka 2025.
Ameyasema hayo leo jijini Victoria...