tanzania women premiere league

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaluo_Nyeupe

    Timu ya wanawake ya Simba yashinda kombe ligi kuu msimu wa 23/24 chini ya kocha Mgunda

    Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale kati ya wababe Simba, Yanga na JKT, hatimaye timu ya Simba wanawake wameibuka mshindi wa kombe hilo la Ligi kuu wanawake baada ya kuifunga Alliance girls ya Mwanza kwa bao tatu kwa nunge. Ushindi wa timu hiyo umechagizwa na uhodari wa kocha Juma Mgunda...
Back
Top Bottom