tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Hukajawahi kuwa na vita vya uchumi Tanzania, Historia iwekwe sawa

    Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuingia katika vita vya uchumi nchi hii. Mabishano na kutofautiana katika sera za uchumi...
  2. JamiiForums Tanzania Where is Tanzania, Ninasikia Harufu

    Karibu kwenye maandalizi ya sherehe, malaika wa bwana ameanza kupasha habari kwa watumishi Safari ilikuwa ni ndefu na ya kuchosha lakini kwa hapa tulipofika nisisite kusema ni haki malaika kupaa angani wakiwa wanashangilia kwani ushindi umeonekana mbele ya macho yao Ile ahadi ya bwana mungu...
  3. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Inapaswa Kujiondoa kama mwenyeji wa Afcon 2027

    Mwaka 2027, Tanzania, Uganda, na Kenya zitakuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon). Hata hivyo, maandalizi ya mashindano haya bado ni hafifu, na hadi sasa hakuna viwanja vya kiwango cha kimataifa vya kutosha kwa ajili ya mashindano makubwa haya. Katika hali hii, Shirikisho la...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

    Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais. Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia balozi zake kukuza mchezo wa ngumi kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania imejipanga kutumia balozi zake zote zilizopo katika mataifa mbalimbali duniani, ili kuzifikia fursa za Kimataifa zilizopo katika mchezo wa Ngumi na kuwezesha mchezo huo kukua Kimataifa...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

  8. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni nchi ya hatari kama Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore ilivyoeleza?

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore imeandika maneno makali sani kwa wanachi wao wanapotaka kutembelea Tanzania, Tanzania inayojulikama na wanachi wengi kwamba ni nchi ya amani umoja na upondo ni tofauti ni iliovelezwa na Wizara ya mambo ya nje ya Singapore. Unaweza kujisomea hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania huwa wepesi kuamini uzushi

    Mimi ni Mtanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa Kitanzania huwa ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje. Wanasiasa wanaocheza siasa za...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania hatujawahi kuwa na Marais au Mawaziri ambao kabla ya madaraka waliwahi kuendesha mradi wowote na wakafanikiwa

    Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa. Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu. Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini kampuni za Kikenya ni nyingi nchini Tanzania kuzidi kampuni za Kitanzania nchini Kenya.

    Sababu ni mchango wa Serikali? Ni jitihada za raia wenyewe?
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

    Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi? Aibu sana kama...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano thabiti kati ya Tanzania na China wafungua milango ya ushirikiano wa kina

    Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa na viongozi waasisi na kuendelezwa na viongozi wa sasa pamoja na sera nzuri ya mambo ya nje ya China...
  14. JamiiForums Tanzania Jiji la Kampala linaweza kufananishwa na mji gani wa Tanzania kwa uzuri na maendeleo?

    Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo. Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri. Pamoja na kwamba ni jiji, lakini ukililinganisha na jiji la Dar Es Salaam ni kulionea, na ukisema...
  15. JamiiForums Tanzania Royal Family - Tanzania hii hapa!

    Sikiliza,wanajitambulisha wenyewe kwa majina! Maswali hakuna, Happy New year 2025!
  16. C

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Sekta ya Betting kwa Mapato ya Serikali ya Tanzania na Changamoto Wanazopitia Wateja

    Sekta ya michezo ya kubashiri (betting) imekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa serikali ya Tanzania. Kupitia kodi na leseni zinazolipwa na makampuni ya betting, serikali inapata fedha zinazochangia bajeti ya taifa. Kwa mfano, kodi kutoka sekta hii imesaidia kufadhili miradi mbalimbali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini Bodi ya Korosho Tanzania

    Wale waajiriwa wapya wa bodi ya korosho Tanzania.. mkeka wenu huu hapa... Hongereni sana.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa mwaka 2025 kwa Taifa Teule la Tanzania

    Mungu anasema na Taifa Mungu anasema na wale wapunga pepo na kusema Taifa halitokuwa chini ya wapunga pepo Taifa litakuwa chini ya mkono wake hodari mkono alio losimika Taifa la Tanzania mkono wa chuma alio lisimika Taifa lake Teule Afrika. Mungu anasema analipa nguvu na uwezo wa ajabu vyombo...
  19. JamiiForums Tanzania Leo Desemba 31, 2024 ni mwisho kwa Taasisi za Umma zinazohudumia zaidi ya Watu 100 kutumia Mkaa na Kuni Tanzania

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Serbia paa la kituo cha Treni limeangua aliyekuwa Waziri kakamatwa na kushtakiwa, Tanzania kilijengwa kituo cha Mabasi Jangwani aliyekuwa Waziri kawa

    Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo. Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo hicho kuanguka. Tanzania tunakumbuka aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa kituo cha Mabasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…