tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Bila haki, uhuru, demokrasia ya kweli nje na ndani ya bunge, kukosekana uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa raia kukosoa, Tanzania itabaki maskini

    Msingi wa maendeleo ya binadamu ni haki, uhuru na demokrasia, kuna mahali serikali ya Tanzania hii ya CCM haijitambui na Dunia haina macho dhidi ya Tanzania, pengine ndiomana Magufuli ilibidi afe (mnisamehe ntaeleza), dhamira ya Magufuli kuua upinzani ilikuwa ya kitoto na ya kipumbavu, Magufuli...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania inakuwa kwa kasi kwasababu ya amani na utulivu

    Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo. Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama. Uhuru wa maoni, habari, haki, demokrasia, upendo, usawa, utengamano, umoja na mshikamano miongoni mwa wa Tanzania ndio hasa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

    Rais wa nchi yetu awe na sifa zipi? Je, ni nani anazo sifa nyingi za kuwa Rais ajae? Je, Tundu Lissu anazo sifa hizo pia?
  5. JamiiForums Tanzania Monitoring and Evaluation Officer at Aga Khan Foundation September, 2023

    Position: Monitoring and Evaluation Officer Major Responsibilities Support establishment and implementation of a gender responsive Performance Management Framework (PMF) of AGECS subprojects. ensuring that AKFEA MERL Minimum Standards are always maintained. Ensure M&E data needs are integrated...
  6. JamiiForums Tanzania Process Analyst at NMB Bank September, 2023

    Position: Process Analyst Job Location: Head Office, Hq Main Responsibilities: Conduct a thorough review of existing banking processes, including transactions, customer interactions, and compliance procedures. Conduct end-to-end analysis of existing...
  7. JamiiForums Tanzania Financial Controller at Enabel September, 2023

    Position: Financial Controller Category: National Reference: 20059 Location: Dar es Salaam, Tanzania Financial Controller (m/f/x) – Tanzania Your tasks and responsibilities You ensure verification and support to the preparation of budgetary planning and monitoring in order to allow for...
  8. JamiiForums Tanzania Staa wa "Movie" Kutoka India, Sanjay Dutt atua nchini Kufanya Royal Tour kuitangaza Tanzania

    Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa nchini. Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na...
  9. JamiiForums Tanzania Revenue Growth Manager at Coca Cola

    Position: Revenue Growth Manager Reference Number: CCB230816-2 Job Category: Commercial - Sales and Marketing Job Type: Permanent Location: Dar es Salaam, Tanzania Key Duties & Responsibilities The role will contribute to Coca-Cola Kwanza vision by maximizing revenue growth through the...
  10. JamiiForums Tanzania Pigo kubwa na lenye madhara kwa Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania kimepitia misukosuko kadhaa ambayo isivyo bahati imekiyumbisha chama hadi kukiuka Katiba, kanuni zake na maamuzi mbalimbali ya vikao vya chama. Hali hii imejitokeza baada ya kufariki kwa aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Bakari Kilo Msulwa ambapo nafasi yake kwa mujibu...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

    Je, ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
  12. W

    JamiiForums Tanzania The Challenge to Tanzania teenagers!

    " If there is the book that you want to read and is not written yet, then you have to write it". It become norms of Tanzanian teenagers to spend most of their times just to complain, pointing fingers to others, thinking their problems are some else faults. Ignoring their position on their own...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake waliofanikiwa sana kiuchumi na career zao, kuliko wote Tanzania pia wamezaa watoto wengi uzazi sio sababu ya mwanamke kufeli

    Wanawake wengi wa kisasa waoga na wavivu sana kuzaa Mwanamke umeolewa ila anampangia mume wake idadi ya watoto atakaozaa. Mtoto mmoja ama wawili tu Wanasema watoto wanaharibu career zao. Kwa uchunguzi wangu binafsi wanawake tatu bora waliofanikiwa kuliko wote tanzania ni hawa Namba moja...
  14. JamiiForums Tanzania Iran yakamata meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania kwa madai ya kusafirisha mafuta kwa njia ya magendo

    Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on Friday. "The Revolutionary Guards naval forces seized two ships over the course of the last two...
  15. JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bomba la Tanzania - Zambia mafuta -TAZAMA kupanuliwa

    Hayo yamejiri baada baada ya mamlaka ya kusimamia nishati ya Zambia ERB kukutana na EWURA mamlaka ya Tanzania. Bomba la TAZAMA lina urefu wa kilometa 1710 na lilikamilika ujenzi wake zaidi ya miongo mitano iliyopita yaani mwaka 1968 Pia mamlaka hizo ziimegusia bomba la gesi NGP toka Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania. Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  20. JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta

    Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini. --- Iran has seized two oil tankers...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…