tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Vienna Protocol inakataza kukamata Balozi wa mwenzio. Tanzania ilikamata balozi wake yenyewe! Kumvua ubalozi hakufuti aibu

    Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo. Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida. Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK-JMT) yanukia Tanzania Bara

    Wanajamvi Salam, Katika siasa hakuna kinachoweza kutokea kwa bahati mbaya. Kila jambo katika siasa hubuniwa na wabobezi na kupangwa kwa ustadi mkubwa kupindukia, na halafu huchakatwa kwa umahiri sana na kisha hutekelezwa na wataalamu kwa umakini na weledi wa hali ya juu mno ili kusudi...
  3. JamiiForums Tanzania Temporary Employment Opportunities at Tanzania Airports Authority (TAA)

    Tanzania Airports Authority (TAA) is a Government Executive Agency established to operate, manage, maintain and develop Government owned airports with a commercially oriented Management style. As of implementing its Organizational Structure, TAA hereby invites applications from suitably...
  4. JamiiForums Tanzania Kila Rais wa Tanzania alipoondoka aliacha nini kwa awamu iliyomfatia?

    Kichwa cha habari kimeeleweka. Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita. Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa...
  5. JamiiForums Tanzania Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

    Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote. Naomba sasa Naibu Waziri...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Chuo Kikuu cha MUST Tanzania kinavyowasaidia wanafunzi kuwa wajasiriamali

    Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) kimekuwa chuo cha mfano katika kuhawilisha teknolojia kwa wanafunzi. Chuo hiki kinahakikisha mwanafunzi anapoingia chuoni hapo anapeleka wazo la biashara/kampuni yake anayotaka kuifungua na chuo...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
  8. JamiiForums Tanzania Aliye mpakani mwa Tanzania na Rwanda

    Habarini Wadau. Napenda kuwasalimu kwa jina la JMT🇹🇿. Naomba Kama kuna mwana Jamii aliye mpakani na Rwanda naomba tuwasiliane.
  9. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wema sana

    Kwakweli hii ni ardhi ya watu wema sana, vigezo vya uwekezaji kwa wageni ni rafiki sana, kuna muda wa kutosha wa kufanya majaribio ya biashara mpya bila kulipa kodi. Nawaomba mpunguze mlolongo kipindi cha usajili wa biashara, vinginevyo nawaalika wawekezaji wengine toka uarabuni, uzunguni na...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  12. JamiiForums Tanzania Tamasha hili linajenga mahusiano kati ya Tanzania ipi na Zanzibar ipi?

  13. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

    Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika. Nitajikita zaidi katika...
  14. JamiiForums Tanzania Finance and Administration Volunteer at DIGNITY Kwanza

    Position: Finance and Administration Volunteer Job Type: Full Time Reporting: Directly to Finance and Admin Manager DIGNITY Kwanza – Community Solutions (DIGNITY Kwanza) is a national not-for-profit organization registered in Tanzania under the NGOs Act of 2002 as amended in 2005, with...
  15. JamiiForums Tanzania Administrative Assistant at Ifakara Health Institute (IHI)

    Position: Administrative Assistant – 1 Post Reports To: Project Leader Work Station: Lupiro Apply By: September 11, 2023 Duties and Responsibilities Assist with the administrative tasks within the project, mainly running in the field, Ifakara testing, and the Insectary Lab. Initiate purchase...
  16. JamiiForums Tanzania Call For Consultancy Proposal at WWF

    Call For Consultancy Proposal For Undertaking Socio – Economic Baseline Survey In The Western Kilimanjaro And Mkomazi Sub – Landscapes For Bmz Unganisha Project BMZ UNGANISHA is a transboundary project that seeks to restore key natural resources across the expansive landscape to bring benefits...
  17. JamiiForums Tanzania Request For Proposal at Nature Conservancy (TNC)

    Request For Proposal The Nature Conservancy (TNC) is among the leading conservation organizations working around the world to protect ecologically important lands and waters for nature and people. Through the Lake Tanganyika Program, TNC is working with a wide range of partners to enhance...
  18. JamiiForums Tanzania Research and Policy Analyst Officer at Wajibu Institute

    Position: Research and Policy Analyst Officer Program/Department: Research and Program Reports to: Research and Program Manager Supervises: n/a Duty Station: Dar es Salaam Specific Job Responsibilities Conducts background public policy research and political economy analysis to support...
  19. JamiiForums Tanzania Resource Mobilization & Communications Manager at Wajibu Institute

    Position: Resource Mobilization & Communications Manager Program/Department: Resource Mobilization & Communications Department Reports to: Executive Director Supervises: Public Relations Officer and Partnership & Advisory Officer Duty Station: Dar es Salaam Specific Job Responsibilities that...
  20. JamiiForums Tanzania Technician (4 Posts) at JVACEE

    JVACEE is urgently looking for potential candidates to fill the below available positions immediately; Technician Erection Fitter — (2 Posts) Technical Pipping Fitter — (2 Posts) Job Requirement: Ideal candidate should possess a working experience of 3 years and above in the construction...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…