tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania kuna kila dalili Kuna wimbi la COVID-19

    Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana. Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
  2. JamiiForums Tanzania Wimbi la walimu kuhama CWT Tanzania limeshika kasi

    JPM alikuwa nabii Katika moja ya hotuba zake, Rais Magufuli alizungumzia michango ya 2% ambayo walimu hukatwa kwenye mishahara yao ili kuchangia Chama Cha Waalimu (CWT). Magufuli alisema michango hiyo hukipa CWT zaidi ya bilioni 3 kila mwezi, na walimu wamekuwa hawajiulizi ni kwa namna gani...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi Duniani wamekuwa wakiishi zaidi ya miaka sabini; Tanzania ni kama vile viongozi wanaanza kuishi chini ya miaka sabini; Tumekosea wapi?

    Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally. Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na vifo tata vya watu bila Postmortem Wala kumhusisha Coroner

    Katika nchi zilizostaarabika kifo cha mtu huhitimishwa kwa postmortem (kujua kamili chanzo cha kifo) na inquest ambapo ofisi ya Coroner huhhsika. Kifo hakiishii na mambo ya tiba peke yake. Mtu anaweza kuwa alikuwa mgonjwa mahututi hospitali, lakini kafa kwa sumu au hata kuchomwa kisu huku akiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mjadala kujikumbusha kuhusu mabadiliko ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (uliofanyika May 13, 2023)

    Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo: 1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya: Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Upeo wa Mabadiliko yenye Tija katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania

    Utangulizi Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na uwezo wa kujenga mustakabali...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania, Uingereza zadhamiria kuimarisha biashara na uwekezaji

    Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) aliposhiriki hafla maalum ya kutawazwa...
  8. JamiiForums Tanzania Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe. Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto na Suluhisho za Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi: Kesi ya Barabara Nchini Tanzania

    Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na usimamizi wa sera na mikakati ya ujenzi na usafirishaji nchini Tanzania. Lengo kuu la andiko hili ni...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ongezeko la Wahamiaji na Usalama wetu: Je, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania vimelala Usingizi wa Pono?

    Wasalaam nyote! La mgambo likiliia ujue kuna jambo. Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo. Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete atembelea Ubalozi wa Tanzania

    Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Seoul, Korea Kusini na kuzungumza na wafanyakazi. Akiwa na mwenyeji wake Balozi Togolani Mavura, amewahimiza kuendelea kuchapa kazi kwa bidii na kuunga mkono kazi kubwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mungu Likumbuke Taifa la Tanzania

    Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi. Mungu uliopo Mbinguni wapo watu wamelifia hili Taifa wapo watu ndio sababu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kusikia Rais akizindua teknolojia mpya Tanzania?

    Leo nilikua naangalia Rais wa Uturuki akizindua ndege mpya ya vita yenye teknolojia ya kisasa! Nikajiuliza.. Mbona huku kwetu tunasikia rais anazindua jengo mara kituo cha afya mara mradi wa maji mbona sijawahi sikia rais anazindua teknolojia mpya? Au sisi hatuna watafiti/wanasayansi? Je...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo Tanzania

    Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini. Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza kupokea fedha zako bila shida wala Shaka yoyote. Huhitaji kuwa Na laini za Kenya au laini za nje ili...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni juu ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Je, Tunakidhi Mahitaji ya Kielimu ya Vijana Wetu?

    I. Utangulizi Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi salama kwa uwekezaji

    Kutokana na uwepo wa mazingira salama nchini yaliyotengenezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, uwekezaji nchini umeongeza na hili linathibitika kwa idadi ya miradi iliyosainiwa kuanzia mwezi Julai 2022- Machi 2023. Miradi iliyosainiwa mwezi Julai 2022- Machi 2023 Sekta ya Uzalishaji viwandani...
  17. JamiiForums Tanzania Vacancies at St John University of Tanzania

    ST JOHN’S THE UNIVERSITY OF TANZANIA EMPLOYMENT OPPORTUNITY St John’s University of Tanzania (SJUT) is a relatively young but dynamic university aspiring to become a global player in the provision of higher education, owned by the Anglican Church of Tanzania (ACT). SJUT is committed to...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi ya Uandishi wa Habari katika Kukuza Uwajibikaji na Utawala Bora nchini Tanzania

    Nchi yoyote inayotaka kuendelea inahitaji uwajibikaji na utawala bora. Katika Tanzania, vyombo vya habari vinalo jukumu kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora. Kupitia andiko hili, tutachunguza jinsi uandishi wa habari unavyochangia katika kukuza uwajibikaji na utawala bora nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

    Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa. Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.
  20. Y

    JamiiForums Tanzania SoC03 Bodi ya Mikopo (HESLB) Tanzania

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (Higher Education Students' Loans Board) Tanzania ilianzishwa mwaka 2005 na Rais wa tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt.Benjamini William Mkapa chini ya Wizara ya elimu yenye jukumu la kutoa mikopo Kwa wanafunzi wa elimu ya juu kuanzia shahada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…