tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

    Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana. Imekuwaje Google waseme Mo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, siri gani imejificha juu ya nchi ya Tanzania hadi papa abusu ardhi ya Tanzania?

    Wakuu. Kuna suala linaniumiza sana Kichwa. Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu? 1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania? 2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui? 3. JE Tanzania...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Policeman dies in Tanzania guest house

    A policeman Stewart Saiba(40) force number Pf 18530 died at Mrina Shine guest house in Arusha.Saiba came to the guesthouse at midnight accompanied by a young woman.He recorded his details in the visitors book and he was given room number 5.He was carrying a bag and a walkie talkie. According to...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania inamilikiwa na nani. CCM, Dola, au kila Mtanzania?

    Kuna wakati nawaza sana kuwa nimo kwenye nchi ambayo sijui kama mimi ni mmiliki wake ama nani ndiye anayeimiliki. Nadharia ziko nyingi lakini sijaona hata moja inayonifanya nijue nani hasa ni mmiliki wa hii nchi ninayoishi. Kila siku nikiwaza umiliki wangu kwa Tanzania nautilia shaka sana...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Miti ya Cherry Blossom inaweza kustawi Tanzania vema?

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Naomba kuuliza kwa wenye utaalamu wa mambo ya mazingira. Je, kwa mazingira yetu Tanzania miti hii ya Cherry Blossom inaweza kustawi vema kama sehemu nyingine Japan, korea etc?
  6. JamiiForums Tanzania Serikali Imetangaza Tenda ya Ujenzi wa Reli ya Kuunganisha Tanzania na Burundi

    Serikali Kupitia Wizara ya ujenzi imetangaza tenda ya ujenzi wa Kipande cha reli Kati ya Uvinza-Musongati-Gitega ambayo inaunganisha Nchi za Tanzania na Burundi. Kipande Cha mwisho Cha Sgr ya kati kilichosalia ni Kaliua-Mpanda-Karema Port. Hongera sana Awamu ya 6 kazi inapigwa kweli kweli...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ya 8 kutoka mwisho ripoti ya furaha Duniani

    Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho. Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi ambayo wajinga wamepata fursa ya kuongoza werevu kwa kuwa wana 'connection'

    Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi. Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha. Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ruto, Raila kuelekea Jumatatu, Tanzania tuna mengi ya kujifunza

    "Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke." Hata hivyo maisha lazima yaendelee. Kutokea kwa majirani zetu: Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika. Miamba miwili kila mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania – Korea kuendelea kuwekeza katika kukuza biashara

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Kim, Sun Pyo ambapo ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania na wadau inaendelea kuweka jitihada katika kuboresha mazingira ya biashara baina ya...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kutoa misaada kwa nchi jirani ni kusimamia sera yake ya mambo ya nje

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililopelekea uharibifu mkubwa wa mali na mazingira. Nchini Malawi...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa msaada Uturuki

    Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu. Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa Malawi [emoji1156] waliokumbwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

    Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele? Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  16. JamiiForums Tanzania Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
  17. JamiiForums Tanzania WHO warns over spread of Marburg virus after Tanzania deaths

    The World Health Organization has urged African health authorities to step up monitoring and clinical care after Tanzania reported its first outbreak of the virulent Marburg virus. Marburg spreads to humans from fruit bats and is passed on through direct contact with the bodily fluids of...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuwatambua watu wenye ulemavu wa viungo waliofanikiwa ili kuwatia moyo wengine wasikate tamaa

    Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa. Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana nafuu, bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Abdallah Posi, Albino flani (R.I.P), n.k. Ila sasa kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu wanunua tiketi 4000 mchezo wa Tanzania vs Uganda

    Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na Uganda. Tiketi hizo zitagawiwa kwa mashabiki ili waende kushuhudia mechi hiyo itakayochezwa uwanja...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…