tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta ukilinganisha na nchi za Afrika Mashariki

    Tanzania tunabahati sana kuwa na Rais anayejali wananchi kutokana na ruzuku ya mafuta Bilioni 100 inayotolewa na Rais Samia Suluhu kila mwezi imepelekea bei ya mafuta kuendelea kushuka kila leo. Kupelekea Tanzania kuwa nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta Afrika Mashariki. Kuanzia leo mafuta...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB plc tawi la Tanzania

    Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuboresha taaluma ya ualimu ili kukuza sekta ya elimu Tanzania

    Mwalimu ana jukumu muhimu katika kuunda haiba ya vijana na kuwatayarisha kuwa raia wazalendo na wanaowajibika. Kando na kazi za kufundisha darasani, mwalimu pia anatarajiwa kuchukua nafasi ya mshauri, kiongozi na mlezi kwa wanafunzi. Lakini pamoja na umuhimu huo, bado kuna mtazamo hasi dhidi...
  4. JamiiForums Tanzania Uza bidhaa nchini Marekani ukiwa Tanzania

    IFAHAMU BIASHARA YA AMAZON FBA. Fulfilment By Amazon (FBA). 1.AMAZON ni nini? AMAZON ni kampuni inayohihusisha na uuzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao yaani mteja atachagua bidhaa anayoiitaji kisha atalipia baada ya malipo AMAZON watamletea mteja bidhaa hiyo mpaka mahali alipo nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

    Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za kibiashara nimeona si vyema. Kama tayari tuko kwenye umoja huo, tuambiwe ili tujue. Kwasababu hata...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara

    BREAKING Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya Kisiasa na Kiuchumi na aliyekuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) bwana Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye kila watu 8, mmoja ana tatizo la Afya ya Akili Tanzania

    Sababu inayochangia hali hiyo ni mabadiliko katika Malezi, Msongo wa Mawazo wa Kushindwa Kuhimili Changamoto, Ongezeko la Magonjwa yasiyoambukiza na Matumizi ya Vilevi hususan Pombe, Bangi na Dawa nyingine za Kulevya. Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge aliyemwakilisha Waziri wa...
  8. JamiiForums Tanzania Sera/sheria ya corporate social responsibility [CSR] jinsi inavyonufaisha wachache Tanzania

    SALAM, Awali BANDIKO hili nililiandaa kwa ajili ya stories of change hata hivyo kutokana na kukosa muda nikajikuta tarehe ya mwisho ya kupokea maandiko imeshapita!!! Sasa naomba kulileta kwenu kama forum ya elimu (kujifunza) na kujadiliana na kuona namna bora ya utekelezaji wa hili kama nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yachaguliwa katika Baraza Kuu la ITU 2023 – 2026

    Na Innocent Mungy, Bucharest Tanzania imechaguliwa miongoni mwa nchi 48 kati ya nchi 193 wanachama wa ITU kuwa katika Baraza la Shirika la Mawasiliano duniani - International Telecommunication Union (ITU) kwa mwaka 2023 hadi 2026. Tanzania ni miongoni mwa nchi 13 zinazowakilisha Bara la Afrika...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania, je hatuoni aibu kuendelea kulilinda na kulienzi jina la mwizi wa rasilimali zetu?

    Tarehe 4 Januari 1917, vita ilikuwa imepamba moto. Majeshi wa Uingereza dhidi ya majeshi ya kijerumani katikati ya nchi ya Tanganyika eneo la mto Rufiji. Askari wa kingereza, jina lake Frederick, alikuwa amejificha mahali kukabiliana na askari wa kijerumani. Akachukua "darubini" kutazama ni...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Biometriki inazingatia na kuheshimu Haki ya Faragha?

    Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika. Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yatakiwa kuacha Upimaji Mimba wa lazima shuleni

    Kamati ya Wataalamu wa Umoja wa Afrika kuhusu Haki na Ustawi wa Mtoto (ACERWC) imeitaka Serikali kupitia upya sera zinazokandamiza haki ya wasichana kupata elimu ikiwa ni pamoja na kuzuia kufukuzwa shule kwa wasichana wajawazito na walioolewa. Pia, Serikali izuie kuwekwa kizuizini kinyume cha...
  13. JamiiForums Tanzania Lijue Bunge la Afrika Mashariki na Jee Uchaguzi wa Wabunge wa CCM EALA Ulikuwa ni Uchaguzi Kweli Au Kiini Macho cha Uchaguzi?

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo ni makala elimishi kuhusu kulijua Bunge la Afrika Mashariki, EALA na kiini macho cha uchaguzi wa Wabunge wa EALA wa Tanzania uliofanywa na Bunge letu...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi ya Uganda na Tanzania wameshindwa kuchanga $1 bilion kujenga refinery plant kwa pamoja

    Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu. Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania akutana na Shaka Hamdu Shaka bonanza la NMB, wakabidhiwa hundi ya TZS 600M

    Summary, SHAKA ASHIRIKI MBIO ZA NMB Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi tarehe 01 Oktoba, 2022 amekuwa sehemu ya mamia ya washiriki katika mbio za NMB zilizofanyika viwanja vya Leaders Kinondoni, Dar es Salaam. Kauli mbiu katika mbio...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

    Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu. Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala. The...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazosifika kwa utalii duniani, ushahidi huu hapa pichani.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kama muonavyo hapo pichani, huu ndio ukweli halisi kuwa huku nje watu wengi wamekuwa wakiifahamu nchi yetu kupitia mambo mbali mbali ya kitalii nk.
  18. JamiiForums Tanzania Assistant Nursing Officer at Bank of Tanzania – 2 Posts

    The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at the Head Office Dodoma, Sub Head Offices in Dar es Salaam and Zanzibar and its Branches...
  19. JamiiForums Tanzania Driver at Bank of Tanzania - 9 Posts

    The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at the Head Office Dodoma, Sub Head Offices in Dar es Salaam and Zanzibar and its Branches...
  20. JamiiForums Tanzania Legal Officer (entry level) at Bank of Tanzania - 7 Posts

    The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at the Head Office Dodoma, Sub Head Offices in Dar es Salaam and Zanzibar and its Branches...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…