tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa Tanzania, CCM kushinda kila term ndivyo itavyokuwa kwa Kenya Rais kuwa Mkikuyu au Mkalenjin

    Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ntafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia

    Ni siku nyingine tena na natumaini wote tupo salama, nimeleta uzi huu kwenu kwa yeyote mwenye ukaribu na tasnia ya filamu. Wakiwemo madirector, maproducer, wasanii na hata wahusika wengineo. Lengo ni kutafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia zijazo. Edwardo...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhu mbadala ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania

    SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA Maana ya ukosefu wa ajira. Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Uber, Bolt kurejesha huduma Tanzania

    Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...
  5. JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

    Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
  6. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania

    Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania. Utangulizi; Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu unaowaandaa vijana wasomi namna ya kuja kukabili hii hali ya ukosefu wa ajira imekuwa haina tiba...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikijiandaa kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, Serikali ya Tanzania ina mpango gani kuwapeleka raia wake?

    Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s. Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s . China nao wamepanga 2040s kama urusi. Sasa sisi serikali yetu inasubiri nini kwenye huu upande wa teknolojia ya angani? Mpaka sasa kimya hakuna...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. Je, ni mfumo unaotufaa?

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  10. JamiiForums Tanzania Beberu wa Waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake

    Nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanaupiga vita mwenge wa uhuru na baadhi ya mila zetu za kitaifa, lakini huyu beberu wa waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake hata kama hazina maana kwa wakati huu.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania haiwezi kupatwa na janga la njaa. Tuna akiba ya tani laki 1.5 za Chakula kwenye Ghala la Taifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dares Salaam tarehe 11 Septemba, 2022 HISTORIA FUPI YA WAWATA Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) ni umoja ulioanzishwa mwaka...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la Ajira Tanzania: Nini Kifanyike

    UTANGULIZI Tatizo la ajira limekua mtambuka duniani Kwa sasa, nchi nyingi duniani zimekua zikikutana na changamoto hii hususani katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudua anguko la uchumi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo athari za ugonjwa wa virusi vya Corona pamoja na vita...
  13. JamiiForums Tanzania Haji Manara ni Propagandist kinara kwa sasa hapa Tanzania

    Huo ndiwo ukweli. Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii. Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi na Utawala Bora Tanzania

     MADA; UCHUMI NA UTAWALA BORA  TANZANIA.  UTANGULIZI nchi yeyote ile Ili ikue kiuchumi inahitaji serikali iliyo bora na imara, Kwa maana ya kwamba serikali ambayo misingi ya democrasia na haki za raia. Serikali ambayo itasimamia rasilimali za taifa lake Kwa umakini mkubwa, kuziendeleza na...
  15. JamiiForums Tanzania Tasnia ya Filamu Tanzania inakosa "Master mind" wa kuitazama Bongo muvi kibiashara

    Kuna wakati utawasikia baadhi ya Wasanii wa Bongo fleva wakifikia hatua ya kuwashutumu wale waliojitokeza na kukaa katikati yao na soko. Wanachosahau Wasanii wengi ni kuwa kuwa na kipaji ni jambo moja na biashara ni jambo lingine. Ili kipaji kiwe biashara lazima kuwe na Mfanya biashara. Uwezo...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya Sanaa

    Sanaa inaweza kutumika kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili ya mtu. Wasanii hutumia ufundi na ujuzi mbalimbali kubadili fikra na mawazo yao kuwa vitu vinavyovutia kwa hadhira zao. Kazi za Sanaa zinaweza kuonekana kupitia tanzu za fasihi, uchoraji, ususi, uchongaji, ufinyanzi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya dhahabu

    vita vimepigwa kwa mabomu na siraha nzito ili kujenga ngome na kasili lenye kuwafanya watumwa na watwana kuishi katika hali ya usawa, pia mapambano hayo yamechochea umoja na mshikamano katika kujenga jumba lenye kutoa makazi kwa vizazi vijavyo na kuhakikisha afya, kwa hakika walimwaga jasho na...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

    - Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema. - Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wana jamii wenzangu. 1. Kwanini Taifa la Tanzania lipo Jumuiya ya Madola? 2...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni Muhimu kujua haya katika Maombolezo ya Malkia Elizabeth

    Hii picha ni miaka ya 1980+ mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles alipozuru uwanja wa ndege katika Mji wa Njombe mkoani Iringa akienda kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako hadi Songea. Kushoto kwa Mwanamfalme mwenye kombati ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Athuman Kabogo aliyeshika...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Upili Tanzania

    ELIMU YA UPILI TANZANIA Elimu ni ujuzi na maarifa juu ya jambo fulani,inayomwezesha binadamu kupata uelewa juu ya dhana tofauti. Elimu ziko za aina mbalimbali,ila hugawanywa katika aina kuu mbili nazo ni, elimu rasmi na elimu isiyo rasmi. Elimu rasmi ni elimu inayowasilishwa katika taasisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…