tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC). Asisitiza Vijana kufundishwa aina zote tatu za vita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), leo tarehe 08 Septemba, 2022 jijini Dar es Salaam. Mkuu wa majeshi ya ulinzi (CDF) Jacob John Nkunda amesema dhamira ya kuanzisha chuo cha Taifa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari?

    Nimemsikiliza Shaka akiwa anaongea leo amesema kua Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutoa uhuru kwa wananchi kutoa maoni yao, ushauri na kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari, Ni kweli Tanzania sasa inauhuru wa vyombo vya habari maana magazeti mengi yanaandika kuikosoa serikali kitu...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Faida ya Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania

    UTANGULIZI Sayansi Ni tawi la maarifa linalohusu nadharia, vipimo, uchunguzi wa hatua kwa hatua na uthibitishaji wa kuwepo au kutokuwepo kwa kitu au jambo katika hali halisi. Tunaliona hili katika historia fupi ya sayansi. Sayansi ilianza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja lakini kadri maarifa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dimbwi la ajabu lisilo na mipaka wala eneo maalum linaloangamiza vijana wa Kitanzania

    Ilikua ni mapema sana majira ya saa 2 Asubuhi katika kijiji cha Hatuchekani mkoa wa Magharibi nikiwa katika mazungumzo na mzee Haambiliki, Niliweza kubaini vyanzo vya maji tiririka yanayoelekea katika dimbwi la Ajabu na linalotisha,sikuwahi tambua kama katika nchi ya Tanzania kuna Dimbwi...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania haimo kwenye Main List ya walioalikwa Kenya Uapisho wa Ruto

    Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi. Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sensa kwa sasa haina umuhimu wala faida kubwa kwa maendeleo ya tanzania zitumike njia mpya kupata idadi ya raia kupunguza gharama

    Tanzania ni miongoni mwa taifa linaloyoshiriki katika mchakato wa kupata idadi ya raia wake kwa mfumo wa sensa. Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo sensa ya mwisho kufanyika nchini kabla ya mwaka huu 2022 ilikua sensa ya mwaka 2012 na...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Tanzania

    Kwa Utangulizi: Sayansi Ni mmarifa au ujuzi unaopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainshwa hazijathibitishwa.Sayansi imegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ayo makundi ni kama vile;sayansi ya asili(mfano biologia na zologia), sayansi ya umbile(mfano...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake. Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania kusubiri waliyopigwa risasi na kufugwa ndiyo wawasaidie hamtafanikiwa!

    Nimewasililiza wapinzani Lema na Lissu leo wakiongea kwenye youtube. Wameongea sio kupinga ya CCM bali kueleza hali ya vijana wetu Tanzania. Wanasema wamechoshwa na watu ambao wana tuma private message eti wenyewe ndiyo wawaseme wengine wakiwa wameonewa kazini, wengine wakiwa wame pewa kesi za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii na Bendi za Muziki Tanzania hivi mnajua kuwa kufagilia watu kwa kutaja majina yao ni kitega uchumi cha Bendi nyingi za Congo DR?

    Nilihudhuria live band moja hapa mkoani Dar es Salaam siku si nyingi na kilichotokea kilinisikitisha sana na kuamini kuwa bendi za Tanzania bado sana Kushindana na za Congo DR na Congo Brazzaville. Wakati bendi inapiga na watu tunaserebuka kwa sebene akaja mmoja wa marapa jirani yangu na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ya Tanzania ina ubavu wa kuweka uwazi kwenye kuhesabu kura kama walivyofanya Kenya?

    Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao! Hivi hapa nchini Serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila Mtanzania anaweza kuona kiasi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya afya Tanzania na duniani

    Jamani wakuu mnisaidie hapa tujulishane kuhusu vyuo vya afya vya jeshi vipoje make sivifaham kbc hata vipoje Kama Kuna mtu anauelewa atupe ma concept.
  16. JamiiForums Tanzania Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

    Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

    Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mufumo wa elimu ya Msingi na Secondary Tanzania

    Mufumo tulionao hauendani na maisha ya watanzania badara yakufanya marekebisho hapa munakimbilia lugha yakiswahili. Madaraka ya kuanzia la Kwanza mpaka kidato cha Sita si lazima! Tunakiwa kumuandaa kijana kuingia “work force “akiwa ameliza degree yakwanza na umri mdogo ili aweze kufanya kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Accountant at ActionAid Tanzania 2 posts

    ActionAid Tanzania is an anti-poverty agency working to end poverty and injustice. Qualified women candidates are highly encouraged to apply for this position. ActionAid Tanzania (AATZ) envisions seeing Tanzania without poverty and injustice in which every person enjoys his/her right to a life...
  20. JamiiForums Tanzania Driver at SOS Children's Villages Tanzania (3 Posts)

    SOS Children’s Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to SOS Children’s Villages International, a worldwide child care organization that provides orphaned and destitute children with a permanent home and educational opportunities. Established 60 years ago, SOS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…