tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Katiba bora Tanzania imara

    UTANGULIZI Maisha ya mwanadamu yamejikita katika ngazi mbalimbali za kijamii kulingana na muundo au mfumo ambao jamii husika hujiwekea. Ukubwa wa jamii zetu huanzia chini kabisa na hatimae kupanda juu kutoka ngazi moja had Ngazi nyingine. Ngazi hizi ni kama vile, familia, ukoo, kabila, taifa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kuinua na Kupika Vipaji vya Michezo Tanzania

    Habari za leo. Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi yameangukia kwa wachezaji, walimu, TFF, serikali, etc. Naomba niwasilishe maoni yangu kutokana na mimi...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI. Anaandika Robert Heriel, Mtibeli. Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi. Haya nilisema sina maneno mengi, turudi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Rais Samia jana Agosti 29 ni uthibitisho wa neema tuliyojaliwa Tanzania

    Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu. Uadilifu, weledi, haki za binadamu na kulinda mila na desturi za watanzania ni baadhi ya mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema kuna visa 519 vya kipindupindu, kati yao wagonjwa 11 wamefariki mwaka 2022

    Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa wengi. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri kusimamia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wa mikoani(vijijini ) mtuvumilie kwanza, tunawathamini wa Dar Es Salaam ambako ndiyo Tanzania yenyewe!

    Waongozaji 90 wa makarani wa #Sensa2022 wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamesusia zoezi la #Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Chanzo: azamtvtz Kuweni wazalendo kwa kujitolea tu hata bure, taifa litawakumbuka na hata Mwenyezi Mungu nae...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

    Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea, sitaki kuhusisha dini labda Mungu tu ndio tumuhusishe. Katika utafiti wangu usiyo rasmi nimeshuhudia...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na changamoto za afya ya akili

    TANZANIA NA CHANGAMOTO ZA AFYA YA AKILI Utangulizi Afya ya akili kwa lugha rahisi tunaweza kusema kuwa ni ustawi wa mtu kisaikolojia na kihisia. Mara nyingi miili yetu huwa na afya njema, lakini kuna wakati miili yetu hupata magonjwa mbalimbali na hivyo kuhitaji tiba ili kurudi kwenye hali au...
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hafai kuongoza Wizara ya Fedha

    mfumuko wa bei doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utafiti na Maendeleo Tanzania

    Utafiti na Maendeleo Tanzania Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua hatua dhidi ya changamoto hizo. Utafiti ni moja ya kichocheo kilichochangia maendeleo ya dunia. Hii ni...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania mtaacha lini kufanya kazi kisiasa?

    Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi Summary Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
  12. JamiiForums Tanzania Relationship Manager at KCB Bank Tanzania

    Job Summary: To achieve business growth for the Bank by acquiring new profitable customers; and selling Sahl Banking products while also promoting sales of other products and services of the Bank to increase wallet share within existing customers. This incorporates prospecting for new business...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

    Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote... Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana... Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania 0-1 Uganda, kipigo kilikuwa ni haki yetu Watanzania, kwa sababu hizi....

    Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022 Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 3, 2022, lakini niwe mkweli ili kufanikiwa kufuzu basi kuna kitu kikubwa cha ziada kinatakiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Namuona Lowassa akija kuwa Rais wa 7 wa Tanzania

    Hapo vip!! Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa. Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema mara ooh ni mzee. Kama hoja yao ina ukweli mbona Marekani ambayo ni taifa lililoendelea duniani na...
  16. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kudhibiti usugu wa dawa za kutibu magonjwa yanayo sababishwa na bakteria na kuvu (Fangasi) Tanzania

    KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA. Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo zimeundwa kuziharibu na hilo husababisha mtu kushindwa kupona ugonjwa fulani unaosababishwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania "ilipotoa" msaada

    Wengi wetu tuna hii dhana kuwa Tanzania ni nchi ya kupokea misaada tu. La hasha! Kulikuwa na wakati Tanzania ilikuwa ikitoa misaada, tena ya kifedha! Mwaka 1975 ulikuja ujumbe wa Vietnam ukakutana na rais wa wakati huo Julius Nyerere. Ujumbe huo ulikuwa unatembelea nchi za duniani kuomba msaada...
  18. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapungufu ya mfumo wa Elimu ya Tanzania yalivyonifanya niteseke kwa zaidi ya miaka 7

    Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu . Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…