tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wabunifu na wadau wa ubunifu: Hudhuria wiki ya ubunifu katika mkoa wako

    Habari wana Jukwaa, Sambamba na UZI HUU niliouleta kuhusu Wiki ya Ubunifu Mkoa wa Njombe, nimeona ni vyema nikaleta masasisho kuhusu matukio kuelekea Wiki ya Ubunifu kitaifa itakayofanyika Dodoma. Hapa nawaletea orodha ya Mikoa ambako kuna matukio yatafanyika, Taasisi zinazohusika kuyaandaa na...
  2. JamiiForums Tanzania Miji muhimu ya Kifedha Tanzania, nje ya Dar: Mwanza, Arusha, Moshi

    .
  3. JamiiForums Tanzania Balile: Kwa miaka sita mfululizo Tanzania ilikuwa na anguko la uhuru wa vyombo vya habari mpaka Rais Samia ulipolidhibiti

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini. Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Factcheck: Chama tawala hapa nchini Tanzania kimewatakia wananchi wake heri na baraka za Sikukuu ya Eid Al Fitr

  5. JamiiForums Tanzania Surviving on Brown Envelopes: Tanzania’s ‘Volunteer’ Radio Journalists in Limbo

    By Mweha Msemo | 22 April, 2022 Dar es Salaam. Salma Mashallah is a journalist based in Dodoma, the centermost city and the administrative capital of Tanzania, about 451 km from Dar es Salaam, the country’s commercial capital. Her day starts at 7:00 AM with an editorial meeting, where daily...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bilionea ni mmoja tu ,wengine ni Oligarchy

    Kwanza lazma tujue oligarchy ni nani , na bilionea ni nani. Kiufupi oligarchy ni kikundi Cha watu/mtu wenye feza nyingi sana yaani matajiri ambapo utajiri wao unatokana na serikali iliyopo madarakani kuwapa nguvu huyo na wanatumia na serikali kujipatia utajiri either kwa kupeana mikataba kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mazingira ya Tanzania yanatulazimisha vijana kuwa wajinga

    Nimekuwa inspired kuandika kutokana na kitabu kiitwacho Nchi ya wasioona baada ya kumaliza kukisoma nikahusishanisha na hali halisi iliyopo duniani especially nchini kwetu Tanzania nikaja kugundua mimi BabaMorgan uwezo wangu mdogo wa kufikiria unachangiwa na mimi mwenyewe ila kwa asilimia fulani...
  8. JamiiForums Tanzania Panya road: Kikundi cha uasi kinachopiga jaramba

    Kwa sasa huenda kisiwashughulishe sana mafisadi CCM na kwa sababu wanashiba na kulindwa na mabunduki watakipuuza hicho kikundi. Ukweli ni kwamba panya road wakipata mfadhili na watu wa kuwapanga vyema ki mkakati kitakuwa ndicho kikundi sahihi cha kuitoa CCM madarakani.
  9. JamiiForums Tanzania IMF 2022: Tanzania ipo Nafasi ya Nane kwa uchumi Mkubwa Afrika

    Makadirio ya shirika la fedha la kimataifa yaani IMF unaonyesha uchumi WA Tanzania umekuwa na kufikia $77 billion katika robo ya Kwanza ya 2022. Hilo ni ongezeko la Dola billion 12 kutoka GDP ya $65 bilioni, Tangy hakunawahi kuwa na ongezeko la bilioni 12 ndani ya mwaka mmoja. Ila tofauti ya...
  10. JamiiForums Tanzania Zijue nchi ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaweza kuingia bila viza

    Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza Baada ya Serekali ya Tanzania kuzindua mpango wake mpya wa kuanza kutoa Pasipoti za Kielektroniki, ili kuboresha usalama zaidi katika nyaraka zakusafiria, Pasipoti hizo hutumia chip ambayo huongeza usalama. Soma pia: Visa free countries for...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

    Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao. Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara. Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuwa na 'Serious Opposition' hili la Wafanyakazi kufanywa Mazuzu wa kutopandishuwa Mishahara ingekuwa ndiyo Turufu yao kuingia Ikulu

    Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani. Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi Mliosema upinzani wa kazi gani Tanzania natumai mmeona wabunge wa CCM wanavyowapigania Bungeni.

    Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo. Baada...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania : Mwezi haujaandama, sikuu Jumanne

    Mufti wa Tanzania,Abubakary Zuberi amewatangazia waumini wa dini ya Kiislam nchini Mwezi haujaandama, hivyo Waislam wakamilishe funga ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani kesho Jumatatu, hivyo sikukuu itakuwa keshokutwa Jumanne tarehe 03/05/2022. Kwa hiyo kesho watu waendelee kupiga kazi.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania pekee ndio inahofia mfumuko wa bei kushindwa kutangaza kwa uwazi nyongeza ya mshahara?

    Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'... “Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno." "Tumejitahidi sana na kwa sababu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania mnadanganywa na kuridhika kwa vitu vidogo sana

    Mnakomalia vyakula kama vile huwa hamli makwenu
  17. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

    Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika. Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi. Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea...
  18. JamiiForums Tanzania Simba SC. Timu pekee inayoipa hadhi ligi Tanzania

    Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza; Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Zimbabwe hapo sijaweka East Africa. Inaiwakilisha Tanzania...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Utesaji aliofanyiwa Steve Biko na Jeshi la Polisi la Makaburu hadi kumuua ndio huo huo aliofanyiwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi Tanzania

    Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini siasa za Tanzania zimeegamia kujadili yaliyopita

    Habari wakuu, Sio lengo langu kufundisha mamlaka husika namna ya utendaji wa majukumu yao wala kuelekeza nini cha kufanya lakini mimi pia sio mwanasiasa, mahusiano yangu na serikali yapo upande wa ulipaji kodi pekee nawapa chao nabaki na changu. Mapema leo nimeona nami nitoe maoni yangu kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…