tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia anaenda kuliua Bunge kama atachaguliwa kuwa Spika

    Kwa maoni yangu kwa kauli ya jana ya Naibu Speaker Dr Tulia Ackson, ni kweli kama atachaguliwa kuwa speaker wa bunge bunge litakufa na kubaki kuwa kitengo cha ikulu. Kwanza, anadai Rais ana nguvu Sana. Ina maana hajui kuwa bunge lipo pale kwaajili ya kuangalia na kumchunga Rais asitumie nguvu...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yanyakua soko la Uganda toka Kenya kutokana na Kenya kuanzisha ugomvi wa kibiashara na Uganda

    Tanzania could eclipse Kenya to become the dominant economy in the East Africa region going by the latest findings by a US-based consultancy firm Invesco. Tanzania ranks at position six with Kenya coming at position 13 in the ranking of African nations most endowed with the potential to...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi uandishi wa habari Tanzania ni tofauti ma nchi nyingine? Kazi hasa ni zipi?

    Kwa wataalamu wa mambo ya sanaa pamoja na sayansi ya uandishi wa habari napenda mtujulishe kazi zao zina mipaka kiasi gani kwa viongozi wa nchi? Habari zinazoandikwa na kuripotiwa ni zile zinazojitokeza zenyewe tu by nature hakuna habari za uchunguzi za kisiasa. wanachunguza mambo ya afya za...
  4. JamiiForums Tanzania TEF yamtaka Waziri Nape kuyafungulia Magazeti ya Mawio, Mseto na Tanzania Daima

    KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
  5. JamiiForums Tanzania Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

    Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
  6. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tunatambulishwa kwa kipi? Nchi yangu inapoteza utambulisho

    Tanzania Yangu ya sasa imekosa alama yaani haina Identify kabisa. Je, ni nini alama ya Taifa letu kwa mgeni? Kwa mfano mgeni akitoka Marekani, China, Hispania au Ufaransa je, atatambua vipi hapa amefika Tanzania? Ukiingia China utakuta Maandishi ya kichina Kwenye Mabango, hivyo hivyo ukienda...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naunga Mkono Betting, Kampuni za Kamali, Endeleeni Kuja kwa Wingi Tanzania!

    Taifa kama taifa ni LAZIMA litafute namna ya kuchukua pesa za wanaobet ili kuziingiza kwenye mfumo unaoleweka wa kiuchumi!!! Tukitumia mfano wa mtu anayefahamika na wengi kwa mfano, Diamond Platnumz, hivi karibuni amezindua kampuni ya betting... yaani kampuni ya watu kucheza kamali! Kwa hili...
  8. JamiiForums Tanzania Kama kuna Mawaziri wana 'Wataalam' hasa wa 'Vilingeni' wanaowasaidia vyema Uongozini kwa Tanzania nzima ni Kassim, Ummy na Mwigulu

    Na nashauri hata Siku zingine ikitokea Mvua zikagoma Kunyesha tuwaombeni hawa Waandamizi Watatu tajwa katika 'Headline' yangu watusaidie Kuongea na hao 'Wataalam' wao kwani kwa muda mfupi tu huu wameshaonyesha kuwa hakika 'Ndumba' wanazijua na wanaweza. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Dondoo za hatua za kupata hati ya umiliki wa ardhi hapa Tanzania kwa mwaka 2022

    Utangulizi. Cheti cha umiliki wa ardhi. Ni nakala itolewayo kwa mtu ikionyesha haki yake ya kukodishiwa ardhi husika ndani ya miaka fulani. Anayepewa hati hii anakuwa amekodishiwa ardhi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ardhi hiyo husimamiwa na raisi wa Jamhuri kwa niaba ya watanzania wote...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

    Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta. Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha. Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais ni lazima awe na umri wa miaka 45 na kuendelea, vipi kwa mrithi wake kama hatakuwa na umri huo?

    Wakuu nataka kujua, Kwa mujibu wa katiba ya muungano wa Tanzania, Rais wa jamuhuri lazima awe na umri wa kuanzia miaka 45 ndipo anaweza kuwa na sifa ya kugombea urais. Swali jJe, kwa mfano Rais X akiwa Madarakani na umri wake ni miaka 50 na Makamu wake Y yeye akawa na umri wa miaka 40. Baadae...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
  13. JamiiForums Tanzania Fungua kitabu na mohamed said TBC Jambo Tanzania

  14. M

    JamiiForums Tanzania WAKATI MAMBO MENGINE YAKIENDELE LEO NCHINI OFISI ZOTE ZA CHADEMA TANZANIA ZIMEFUNGULIWA ZIPO WAZI.

    Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema zimefunguliwa ghafla uku wengi wa wambea hao wakiwa wanahoji...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali za nchi hii kwa maendeleo ya watu wote

    Habari! Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu. Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia. Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha. Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii...
  16. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania

    Vodacom Tanzania hamna jinsi mnaweza kupunguza haya maneno mengi mkaweka hata VODA TZ AU VODACOM TZ. HILI JINA LENU REFU MPAKA MUONEKANO WA CM UNAKUWA BOARED. JARIBUNI KUWA KAMA MITANDAO MINGINE JINA FUPI TU. KAMA TIGO TZ, HALOTEL TZ AU AIRTEL TZ
  17. B

    JamiiForums Tanzania Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

    Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu. Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nalinganisha Vyama vya SIASA Nchini Tanzania na Mitandao ya Simu

    Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
  19. JamiiForums Tanzania Maspika wa Bunge waliomtangulia Job Ndugai

    1- Spika wa kwanza wa Bunge la Tanzania huru, Adam Sapi Mkwawa, aliyeongoza kwa takribani miongo mitatu - alikuwa na sifa kubwa mbili; kwanza alikuwa Chifu mwenye heshima kubwa kutoka katika kabila la Wahehe lakini pia akiwa na historia ya kuwa mmoja wa watu weusi wa kwanza kuingia bungeni...
  20. JamiiForums Tanzania Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…