tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania na maendeleo ya Mpira Nchini

    Timu za Tanzania hasa Yanga, Simba na Azam zimejiimarisha sana kusajili wachezaji nyota kutoka nje ya nchi. Ingawa kwa kufanya hivyo kumeichangamsha sana ligi ya NBC mwaka huu, kinachosikitisha sana ni kwamba hali hiyo pia inadidimiza sana vipaji vya ndani, hivyo kuifanya Taifa Starts ibaki...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi Mmarekani (wa Peace Corps) alivyoua mtu Tanzania, kukwepa mkono wa sheria na kutorokea kwao

    Kwa Ufupi Kuhusu Muuaji na Tukio Hilo Kwa Ujumla Huyo ni Mmareakani. Alikuwa ni mfanyakazi wa Peace Corps. Alitoka ulevini na kahaba huku akiwa amelewa. Alisababisha ajali ambayo iliumiza wawili na kumuua mwanamke mmoja. Baada ya Tukio alishikiliwa katika kituo ambacho hakijatajwa jina...
  3. JamiiForums Tanzania Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

    Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena. CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu! Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
  4. JamiiForums Tanzania Uzuzu wa kisiasa,kidemokrasia na kikatiba Tanzania nini kifanyike?

    Habari za kutwa miamba na majabali ya jukwaa mujarabu. Rejeeni kichwa cha maada, nimetafakari nyakati nyingi na kwa marudio kwanini nchi hii ina ombwe kisiasa,kidemokrasia na kikatiba. Kwanini uhuru katika nyanja hizo si kipaumbele kwa Taifa hili? Mara nyingi maswali yangu hujikita...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo apongeza Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    CHONGOLO AWAPONGEZA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewapogeza Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania mafuta ya petrol na diesel ni ghali kuliko wanufaika wa bandari yetu?!

    Habari ya uzima ndugu zangu? Nimewaza sanaaa hili jambo,maana naona namna mwananchi wa chini kiuchumi anavyoendelea kuminywa kupitia ongezeko la mafuta. Ni miezi miwili imepita madereva mkoani Mbeya walikuwa wanakimbilia Zambia kununua mafuta,maana ni bei nzuri kuliko kwetu. Au ndio...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Museveni anaeonekana kuifahamu sana Tanzania, hii sio hatari kwa usalama?

    Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania. Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk. Sasa ikiwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna vyombo Tanzania vinavyotetea haki za vibarua (deiwaka) ambao hawana mkataba?

    Habarini wakuu, Naombeni msaada kujibiwa swali hili Hivi kuna vyombo vya kisheria vinavyotetea haki za kibarua almaarufu deiwaka? Naombeni mnitajie tafadhali. Nimejaribu kuchunguza nimeona vibarua hawa wananyanyasika sana kutokana na shida zao za maisha kwa kutopewa vifaa vya kuwaweka salama...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania, mmedhibiti mijadala kwenye radio na Televishen, wanaharakati na wapinzani wamehamia space na zoom mmewafuata kuomba mic; It's Shame

    Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali. Kwa kuwa wanaozuiwa kusema ni wale wenye akili...
  10. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ni Mwanasiasa aliyefanya kazi kubwa na Katika mazingira magumu 2019, 2020 na 2021 Nchini Tanzania

    Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya. Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Meli yenye kubeba Radioactive ipo njiani kuja Tanzania

    Waziri wa Afya wa Kenya amethibitisha kuwa kuna meli yenye shehena ya Radioactive imepita Kenya na inaelekea Tanzania. Je serikali ya Tanzania inataarifa ya meli hiyo? ==== Kenya secures ship suspected to be carrying radioactive substances Saturday, December 18, 2021 Health Cabinet...
  12. JamiiForums Tanzania Itapendeza na inawezekana rais ajae awe mzanzibar, ni nani atafaa kuwa makamu wa rais kutoka Tanzania bara

    rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa
  13. F

    JamiiForums Tanzania NI WAZI PHD NI BIASHARA TANZANIA

    Baada ya maoni mbalimbali juu ya PhD zinazotolewa kwenye vyuo vya Tanzania ni dhahiri kuwa kuna biashara nzuri kwenye eneo hilo. Hii ni aibu kwa Vyuo vyetu na kuna haja ya uchunguzi kufanyika. Naamini soon tutakua na PhD za chupi. Wasalaamu Mdau wa PhD.
  14. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Hawa ndio watakuwa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Habari zenu wakuu, ama baada ya salam ningependa sasa kuelekea kwenye mada yetu husika. Ndugu zangu katika maono yang na uzoefu wang wa mambo ya kisiasa, natabiri kuwa hawa ndio watakuwa baadhi ya wagombea urais wa JMT wa mwaka 2025. Hapo chini ni majina yao na vyama vyao watakavyotumia...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yamwaga zaidi ya bilioni mbili kwa Tanzania kwa ajili ya mapambano dhidi ya Corona

    === Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita. Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunakataza watu kulima Bangi? Au tunasubiri mabeberu watuelekeze?

    Kilimo Cha Bangi kinatumika nchi Mbalimbali na jinsi siku zinavyokwenda ndivyo Mataifa mengi zaidi yanaruhusu kulima n kuvuta Bangi. Tanzania sisi msimamo wetu ni kuwafunga wavutaji na wauzaji miaka 30, kuchoma moto mashamba nakutumia mabiliaoni kupambana na raia wanaolima wakauze kwenye soko la...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Makocha wa 'hovyo' kama Zubeiry Katwila wa Ihefu FC kwanini Soka la Tanzania lisiwe 'bovu' na la Simba na Yanga 24/7 tu?

    "Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila. Nami GENTAMYCINE nina...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaleta Global Tree na uwekezaji wa TZS 230BL Tanzania

    === Ajira hizo Watanzania wenzangu, kidogo kidogo tu mtamwelewa na mtaelewa nia njema za mama yetu mnyenyekevu Mhe Samia Suluhu Hassan kwenye safari zake za nje, Dodoma, Tanzania. Naibu wa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza jopo la serikali katika Mazungumzo ya awali na kampuni...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nikiwa njiani najisomea na kusikiliza habari tofautitofauti za kijamii, kisiasa, kiuchumi toka mataifa tofauti; nimejikuta nikimshukuru Mungu kuwa mtanzania. Hakika Tanzania yetu ndio nchi ya furaha. Tumebarikiwa kuwa na waasisi bora wa taifa waliotuachia misingi imara isiyotikisika...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania Hamna Referee

    Marefa wakibongo hawana viwango vinavyohitajika na ndio maana hawachaguliwi kwenye mechi za Afcon. Rwanda, Tchad, Djibouti, Burundi, Mauritius, Comoros, Seychelles, na Lesotho zote zikichanganywa pamoja ni ndogo kuliko Tanzania. Ila kwa jinsi marefa wetu wanavyotoa maamuzi yao inasikitisha sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…