tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kinara katika usalama wa chakula Afrika

    Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. KAZI IENDELEE. ===== Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
  2. JamiiForums Tanzania Nani kati ya Marais wa Tanzania angeibuka kidedea/mshindi kwa vigezo hivi?

    Tanzania ni moja Kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeshafanikiwa kuwa na awamu tofauti tofauti za uongozi wa ngazi ya juu kabisa(URAISI) na ni miongoni mwa nchi chache kabisa ambazo hazijawahi kuwa na matukio makubwa yaumwagaji damu, vita vya wenyewe kwa wenyew na mapinduzi ya kijeshi...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania imerudi nyuma miaka 50

    Tanzania ya leo kila maskini anavojaribu kupambana anarudishwa nyuma kwa ngumi na mateke. Leo hii vigezo vya kupata mkopo havieleweki, mtoto amesoma kayumba, kaenda sekondari ya kata, kaenda A level ya kata iliyopandishwa daraja. Kafaulu kwenda chuo, ananyimwa mkopo eti kwa sababu wazazi wake...
  5. JamiiForums Tanzania Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu

    Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu hivyo kuweni na amani, " Hakuna kama Rais Samia " Deni la Serikali kwa mujibu wa Ripoti ya Hali ya Uchumi ya Taifa iliyotolewa mwezi Jun 2021 na...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26). Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia...
  7. JamiiForums Tanzania Uingereza kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona vya Tanzania kuanzia Novemba 1

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga...
  8. JamiiForums Tanzania Deputy ERM at Plan International

    Deputy ERM Posted Date: 27-Oct-2021 Location: Kibondo, Tanzania Company: Plan International The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation that advances children’s rights and equality for girls. We believe in the power and potential of...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu ujao Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya maana

    Nimejaribu kuichunguza Nchi yetu inavyoongozwa na mikakati tuliyonayo najiridhisha kuwa ni vigumu sana kupata maendeleo ya maana hata kwa miongo mitatu ijayo yaani comes 2050! Sababu zangu ni hizi; 1. Elimu yetu ni duni sana kwa maana ya maudhui (contents) na inazalisha watu wenye maarifa...
  10. JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita, Tanzania ilifanya Uchaguzi Mkuu, Unakumbuka nini siku hiyo?

    Leo ni mwaka mmoja kamili tangu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ufanyike. Unakumbuka nini katika uchaguzi huu?
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iunde Taasisi ya kutunga na kusahihisha Mitihani ya Vyuo vya elimu ya Juu, Rushwa ya Ngono Imeshika kasi

    Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake. Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima. Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili...
  12. JamiiForums Tanzania Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

    UTANGULIZI: Nimiaka zaidi ya arobaini (40) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7, Gesi hii baada ya kuchimbwa na kupoozwa kwa nyuzi Joto -260`F au -162'C nakuwa gasi miminika ndio inaitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

    Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi. Uwazi wangu...
  14. JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa Madini ya Nikel utainufaisha Tanzania au ndio tutaishia kupigwa

    Nchi zinazoongoza ku export madini haya na pato lake Russia 3.02 bilions US dola kwa mwaka Canada 2.77 United States of America2.22 Germany1.47 Norway1.25 UK 1.1 Finland1.02 Zimbabwe0.99 Japan0.92 Indonesia0.81 Netherlands0.71 France0.69 China0.55 Papua New Guinea0.46 Philippines0.41 Belgium0.4...
  15. JamiiForums Tanzania Mungu ibariki Police Tanzania FC imlipie kisasi Gomez

    Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania inakwamishwa na vijana wake na wanasiasa wasiojitambua

    Hapa Tanzania vijana wao kutwa nzima nikuongelea Pombe, Mpira na Ngono na hapo wanasiasa uchwara wanapopata njia ya kuitawala hii nchi bila kufata misingi ya haki na utawala bora. Hivyo basi nipende kuwaaambia ukweli safari ya asali na maziwa imeharibiwa na hii generation ya sasa hivi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa kumbakiza Kocha Hitimana Simba SC na kumfukuza Kocha wa Viungo Zrane natamani leo tufungwe au 'tudroo' na Polisi Tanzania

    Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC. Hivi...
  18. JamiiForums Tanzania Ujerumani imepata Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takriban Sh190.5 bilioni

    Ujerumani imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takribani Sh190.5 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi kadhaa ikiwemo maji, uendelezaji wa maliasili na utalii, afya ya mama na mtoto pamoja na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia. Taarifa iliyotolewa na kitengo cha...
  19. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Simba: Red Arrow imewahi kuipiga timu ya Tanzania 7-0

    Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0. Katika Droo iliyotoka hivi karibuni watanzania...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com ya China yenye watumiaji milioni 700

    Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa China. Hii ni hatua nyingine ya China kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza mauzo ya bidhaa zao nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…