tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limefanya zoezi la ukaguzi wa ubora wa bidhaa mbalimbali wilayani Kasulu-Kigoma

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
  3. JamiiForums Tanzania TANAPA: Ujerumani yachangia Tsh bilioni 68 kwenye Uhifadhi Tanzania

    Serikali ya Ujerumani imesaini Mkataba na Serikali ya Tanzania ambapo nchi hiyo itatoa kiasi cha Shilingi bilioni 68 ili kuimarisha uhifadhi katika hifadhi za taifa nchini.
  4. JamiiForums Tanzania Yanga SC na wana Yanga Tanzania si mnajifanya mnajua Fujo na Ubabe, sasa Kisasi chawasubiri huko Kwao Rivers United FC Nigeria

    “Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu. . “Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Katiba ni tiba kwa Tanzania

    Kwa tulipo sasa katiba no muhimu sana kwa Tanzania. Magufuli anatakiwa kupongezwa kwa kuongeza uelewa juu ya umuhimu Wa katiba mpya.Naamini wananchi wanaweza kushiriki vyema kukusanya maoni ya katiba mpua kulikp mwaka 2014. Napendeleza yafuatayo 1. Iache mijadala ya katiba itawale kwenye jamii...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast atembelea Posta Tanzania

    MKURUGENZI MKUU WA POSTA IVORY COAST ATEMBELEA POSTA TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Dar e's Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na Umoja wa Posta Duniani (UPU), Ndugu Isaac Gnamba Yao ametembelea Makao Makuu ya Shirika...
  7. JamiiForums Tanzania Hili ndio jina la kike linalotumiwa na idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania

    Fatuma Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma. The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
  8. JamiiForums Tanzania Misamaha ya kodi haina ulazima kwa Tanzania, ndio sababu ya kuwakaba raia wa chini kwa tozo

    Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada nk. Sababu wanayosema ya kutoa msamaha wa kodi ni kuvutia uwekezaji, sababu ambayo ni mfu kwa kuwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wa Tanzania na mapinduzi ya nne ya viwanda

    Tanzania imekuwa ikipitia changamoto nyingi sana toka mapinduzi ya kwanza ya viwanda kuanza. Tanzania amekuwa mtazamaji wa mapinduzi haya na sio mshiriki hasa katika nchi yake mwenyewe. Mapinduzi ya nne ya viwanda yamebisha hodi na mtu wa kwanza anaetakiwa kuamka na kuwa mwanachama wa mapinduzi...
  10. JamiiForums Tanzania Ninachokiona ni vita Baridi baina ya Masikini na Matajiri hapa Tanzania

    NINACHOKIONA NI VITA BARIDI BAINA YA MASIKINI NA MATAJIRI HAPA TANZANIA Na, Robert Heriel Nimejikuta sipendi kuzungumzia siasa za nchi hii. Hii ni baada ya kugundua kuwa siasa za nchi hii ni Vita Baridi Kali inayohusisha makundi makuu mawili; nayo ni masikini na Matajiri. Kwa kweli Mwanzoni...
  11. JamiiForums Tanzania Shelter Technical Assistant at Norwegian Refugee Council (NRC)

    Shelter Technical Assistant Tanzania Nduta "Job Details" Kibondo, Tanzania, United Republic of Job Identification 3091 Job Category Engineering Locations Nduta Degree Level Bachelor's Degree Job Schedule Full time JOB DESCRIPTION Adhere to NRC policies, tools, handbooks and...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania au Afrika Mashariki kuna chuo kinafundisha masuala ya teknolojia ya nyuklia?

    Eti kuna chuo cha mambo ya nyuklia? Vipi katika Afrika. Kuna chuo kinafundisha masuala ya Nyuklia?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya Katiba ya Tanzania na mabadiliko 14 ya Katiba tokea Uhuru mpaka sasa

    Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Makame Mbarawa ni Clatous Chota Chama aliyekuwa amekaa Bench katika Kikosi imara cha Samia Tanzania FC

    Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika. Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili. Ila kama kuna Mtendaji ambaye katika Wizara (Dockets) alizopita alikubalika...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Magari mazuri ya harusi yakukodisha - Tanzania wedding car rental

    Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni? Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako? Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental Wasiliana nasi sasa, kuuliza bei ni Bure kabisa! Call/WhatsApp : 0788457446 Office : Kijitonyama Bei kuanzia 150,000
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

    Haya ndio maendeleo ya Dubai ndani ya miaka michache, waTanzania sisi tumelogwa miaka zaidi ya 50 hakuna jipya.
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuimarisha Demokrasia ya Tanzania ?

    Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika. Demokrasia ya Tanzania Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

    UPDATES 00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu. 03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers 05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaenguliwa Mchezo wa Volleyball kwa kushindwa kutoa ada ya Dola 1,000

    10 September 2021 Kigali, Rwanda Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball. Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara...
  20. JamiiForums Tanzania Jeff Bezos ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania!!

    Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln GDP gross ni $65bln. Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…