tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kumbukizi 2015: “Nitailinda na kuitetea Katiba ya Tanzania; Nitawatendea haki sawa watu wote bila Upendeleo kwa mujibu wa Sheria."- Dkt Magufuli

    Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema maandalizi ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule John Pombe Magufuli yamekamilika na yatahudhuriwa na viongozi mbalimbali takribani 20 wakiwemo marais watatu wa Uganda, Comoro na...
  3. JamiiForums Tanzania Yanayotokea USA ni dhahiri kuwa Tanzania tumekomaa kidemokrasia

    Donald Trump ameamua kujitangaza mshindi wa uchaguzi wa Marekani wakati kura bado zinahesabiwa na ametangaza anenda mahakamani kupinga matokeo. Kwa taifa ambalo wapinzani kama ACT Wazalendo na CHADEMA huwa wanalitegemea kuwa kioo cha Demokrasia sasa linatia aibu maana kama mtu anakataa matokeo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

    The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magufuli asipochunga atarudisha Tanzania nyuma

    The Tanzania elections were not free and fair. From pre-election intimidation of the opposition, to ballot staffing, media gagging, lack of transparency in vote counting. Magufuli did not have to do all this just to get a higher victory margin, he would have won fairly with a smaller margin...
  6. JamiiForums Tanzania Tusipotoshe umma, Tanzania ni Nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi, sio lazima Wapinzani kuchaguliwa kuwa Wabunge

    Ibara ya 3(1) ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni nchi isiyo na Dini,bali ni Nchi ya kidemokrasia ambayo inafuata misingi ya vyama vingi. Tarehe 28 mwezi jana Watanzania walipiga kura,na walifanya maamuzi ya nani awe Mbunge, Diwani au Rais. Na matokeo yametoka na CCM imeibuka...
  7. JamiiForums Tanzania Verification of Twitter accounts blackmailing Tanzania Was a Help from US Embassy

    Some anonymous accounts blackmailing Tanzanian government, have been verified and sponsored same day when US embassy joint latter with Germany embassy went viral on the internet revealing their support to opposition parties which later they claimed to be fake on their twitter account. According...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na baadhi ya mambo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu. Pia wamesikitishwa na malalamiko ya upinzani kutopewa nafasi sawa pamoja na kuwa na nafasi finyu kwa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu Tanzania urudiwe

    Kama watumishi wa umma waliokuwa na vyeti feki walifutwa kazini hali kadhalika viongozi walioingia madarakani kwa kura feki waondolewe wote. Uchaguzi Mkuu urudiwe. Ulijaa wizi wa kura ngazi zote kuanzia Urais mpaka Udiwani.
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini uchaguzi wa Tanzania ni world news?

    Huwa najiuliza Tanzania yetu ni nchi ya kawaida na tupo kivyetuvyetu kutokana na utamaduni wetu ni very conservative na lugha yetu ya mambo yote haijulikani to the outside world lakini utashangaa namna tupo effective kwenye worlds headlines Kuna jambo la kawaida tu linaweza kutokea Tanzania...
  11. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

    The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Maandamano ya tarehe 2 Nov: Je, Ni Demokrasia au waliokosa wanapigania Maslahi Binafsi?

    Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, vyama vya upinzani havijawahi kukubaliana na matokeo katika kila sehemu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

    We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians. NB: Kwa wale...
  14. JamiiForums Tanzania CCM yatangaza fursa kwa wanachama wake wenye dhamira ya kuomba dhamana ya nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya nk

    Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya. Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Waandishi wetu wa Habari wekeni Tanzania na haki mbele kuliko ushabiki

    Waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa vituko. Hawajui kuuliza maswali, hawajui kuhoji na wameweka ushabiki mbele kuliko Tanzania. Kumpenda Magufuli au kiongozi yeyote wa Upinzani haina maana kwamba una support kila kitu hata ubanaji wa haki na demokrasia ya wananchi. Huu uchaguzi ulivyoenda...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Balozi huyo ameandika: Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Maalim Seif kuingia kwenye GNU ni mkubwa iwapo tu Jumuiya ya Kimataifa itashindwa kurejesha uchaguzi mpya Tanzania

    Haya ni maoni yangu binafsi. Kwanza nianze kusema inaelekea baada ya robo karne ya vyama vingi, sasa kuna mwelekeo mpya duniani. Haiwezekani mfumo wa vyama vingi hadi Leo Afrika ndio sababu ya mauaji na chuki na kwamba walioleta vyama vingi wameshindwa kuweka nguzo imara ili kila taifa...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

    UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020. Foreign, Commonwealth & Development Office Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement. Minister for Africa, James Duddridge...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

    Ndugu Rais, nakusalimu. Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania wameridhishwa na uongozi wako unaoacha alama. Ndugu Rais, ninaomba niende moja kwa moja kwenye hoja...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maoni yangu; Tuzo 10 bora za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa mwaka 2020 umekamilika rasmi Leo kwa mshindi wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Joseph Pombe Magufuli Kukabidhiwa cheti cha Ushindi. Katika hekaheka za Kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, zilizodumu kwa siku 60, kuna Tuzo kumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…