TANZANIA TUITAKAYO
# SEKTA YA ELIMU
Kwanini andiko hili limeegemea zaidi katika sekta ya elimu? Jibu ni hili katika maeneo muhimu na nyeti ambayo yakichezewa basi taifa laweza kupoteza dira na mwelekeo ni eneo hili la elimu hivyo kama tutakua makini katika eneo hili tunaweza kuitengeneza...
"Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu"
Utangulizi
Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
Utangulizi
Katika dunia ya leo, maendeleo ya teknolojia yamekuwa msingi mkuu wa ukuaji wa uchumi wa mataifa mbalimbali. Tanzania, ikiwa ni moja ya nchi zinazoendelea, ina nafasi kubwa ya kuimarisha uchumi wake kupitia matumizi ya kompyuta na teknolojia za kidijitali. Katika kipindi cha miaka 5...
Serikali Na wadau wa elim wanajitahidi katika kuweka miundombinu wezeshi ili kuiboresha elim ya Tanzania kuweza kuendana Na Soko la Ajira Ambalo Kwa Kiasi Kikubwa bado Tanzania ipo Nyuma Ukilinganisha Na Nchi nyengine za Afrika. Pamoja na Jitihada hizi Haya Ndio mambo Ambayo Yataendelea...
TANZANIA YENYE NEEMA
Introduction:
Tanzania is beautiful country in world wide that contain beautiful and wonderful national Parks such Mount Kilimanjaro, Mikumi park, Ngorongoro, Serengeti, Sadani, Ruaha, Selous, mount Meru , Also beautiful water bodies such as lake Victoria, lake Nyasa and...
Kama ilivyo kwa vijana wengi, tuna hulka kuu ya kwenda kusoma nje ya nchi zetu, hasa kwa sababu ya scholarship au sponsorship ambapo japokuwa unasoma inakuwa ni sehemu ya kujiingizia kipato kwa namna fulani, kitaalamu tunasema unaua ndege wawili kwa jiwe moja yaani kupata elimu (vyeti) na mpunga...
Tanzania Tuitakayo ni ile ambayo inajengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu.
Ni Tanzania ambapo vijana wanatumia elimu yao kama nyenzo ya kuleta mabadiliko chanya, wakihoji na kushiriki kikamilifu katika siasa na maendeleo ya jamii.
Tanzania yenye vijana waonajiamini na walio...
TEHAMA NA TANZANIA YA KESHO:
Teknolojia ni elimu ya utengenezaji, utumiaji wa vifaa vya maarifa, mashine, mifumo au njia zitumikazo kutatua tatizo kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa jambo Fulani katika jamii. TEHAMA ni kirefu cha technolojia ya habari na mawasiliano, inajumuisha vifaa mbalimblai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.