Kama ilivyo kwa vijana wengi, tuna hulka kuu ya kwenda kusoma nje ya nchi zetu, hasa kwa sababu ya scholarship au sponsorship ambapo japokuwa unasoma inakuwa ni sehemu ya kujiingizia kipato kwa namna fulani, kitaalamu tunasema unaua ndege wawili kwa jiwe moja yaani kupata elimu (vyeti) na mpunga...