tanzlii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jeshi la Polisi Tanzania litoe taarifa kuhusu askari waliopewa tuzo na Mahakama Kuu ya kurejeshwa kazini.

    Septemba 10,2024 Mahakama Kuu ilitoa uamuzi wa kuwarudisha kazini Askari watatu kama taarifa ilivyojieleza kwenye mtandao wa Mahakama ujulikanao kama TanzLii (Home - TanzLII) ambapo majina ya askari hao na sababu ya uamuzi uliotolewa vyote vimebainishwa katika taarifa hiyo. Baada ya uamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…