Mimi binti wa miaka 24 mwaka jana nilipata mchumba akaja hadi nyumbani akanitolea kishika uchumba baada ya hapo tukawa tunasubiri mahali siku ya kutoa mahali ilipofika kweli alikuja na mshenga wake mi sikujuwa kilichoendelea make walikuwa na wajomba ndani baada ya hapo akanivalisha pete...