Wananchi zaidi ya Laki moja wadaiwa kukosa haki yao ya msingi ya kupiga kura katika maeneo yao ndani ya Tarafa ya Ngorongoro Wilayani Ngorongoro badala yake inaelezwa kwamba wengine kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), wamepangiwa kupigia kura Msomera mkoani Tanga licha ya...