Taraneh Alidoosti (38) alishikiliwa mwezi mmoja uliopita kutokana na kuungana na wanaopinga uwepo wa Sheria ya kuwataka Wanawake kutembea wakiwa na mavazi yaliyofunika vichwa vyao.
Ameachiwa kwa dhamana kosa lake likiwa ni kuchapisha maudhui ya kuhamaisha uchochezi ambapo waigizaji wenzake...