Siku kadhaa zilizopita, kuna wanandoa wawili walikuja kupata huduma ofisi ninayofanyia kazi. Katika huduma hiyo kuna fomu walitakiwa kujaza kila mmoja, na kulikuwa na k kipengele cha kuzaja tarehe ya kuzaliwa.
Baada ya kuzipitia fomu hizo, nilipofika kwenye kipengele cha tarehe ya kuzaliwa...