Meneja wa Tarura mkoa wa Mwanza na mhasibu wake wamekuwa watu wa ovyo kwenye majukumu yao.
Hawa watu wawili wanaifanya Tarura Mwanza iwe sehemu ya hovyo sana kwa sababu wana madudu mengi. Wanashirikiana kuiba fedha za serikali kwa kigezo cha meneja huyo kuwa na ukaribu na mtendaji mkuu Eng...
Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tunaishukuru ofisi yako kuendelea kutujengea barabara za lami kwenye Mitaa yetu hasa Mtaa wa Mwananchi.
Barabara ya lami inayoendelea kujengwa hapa Mtaa wa Mwananchi kwanza unatekelezwa na Kampuni ya Jasco na unaendelea kwa mwendo wa kinyonga sana.
Tatizo...