Hivi huu Mkoa wa Tabora viongozi wa Wakala ya Barabara za Mjini na Vijijini TARURA wapo kweli?
Maana Barabara ya Madaraka iliyopo Mtaa wa Madaraka Manispaa ya Tabora imeharibika na inazidi kuharibika kila siku, kuna mashimo lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.
Nimeshuhudia zaidi ya mara...
Wanajamvi ngoja nilibwage, Barabara inayotoka Kwenye mataa jirani na Stendi ya Mabasi kuelelekea Uwanja wa Alhasan Mwinyi ni imeharibika kwa kuwa na mashimo jambo ambalo linaleta adha kwa watumiaji
Nimeshuhudia mara kadhaa watumiaji wa ile barabara ambao wengi ni waendesha baiskeli wanaokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.