Hebu fikiria joto lilivyo kali unaenda kukata tiketi wanakwambia bus lao luxury lina AC.
Lakini unasafiri Tanga hadi Mtwara hakuna AC na hata baadhi ya vioo havifunguki ovyo kabisa basi letu si la kupanda pia muwe wakweli mtoe mnachoahidi wacheni utapeli kama vipi bakini huko kwenu Tanga...