tata

Tata (German: Totis), (Latin: Dotis) is a town in Komárom-Esztergom county, northwestern Hungary, 9 km (6 mi) northwest of the county town Tatabánya.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna maswali tata ambayo Rwanda na Uganda wapo kimikakati sana kwa tanzania.

    Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha. Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha...
  2. Mzee wa Ukoo aleta mtafaruku msibani baada ya kutoa kauli tata

    Nipo Marangu msibani nimemsindikiza best wangu aliyefiwa na shangazi yake na mazishi ni kesho. Sasa basi asubuhi ya leo tukiwa hapa msibani kuna mtafaruku mkubwa umetokea baada ya mzee mmoja anayetambuliwa kiukoo kama Mzee wa Ukoo kusema kwamba baada ya huo msiba atakayefuata kufa ni kaka wa...
  3. Madai ya Lissu ya hongo CHADEMA na maswali tata.

    Tuhuma za Lissu kuhusu Abdul kuhonga watu zinaacha maswali mengi na tata sana, 1. Kwa nini Abdul ndiye anahonga watu na sio watu wa CCM au serikali? Kwa nini hawakutumika watu magwiji wa hiyo michezo ambao wasingeacha alama au ushahidi ikiwa wangeweza au hata wangeshindwa kumuhonga Lissu...
  4. 💤Mashuhuda Wanasema Dereva wa Prado [Mkurugenzi] ni kama alilala akaifata TATA..

    Mkuu wa wilaya ya Same anasema madereva waongeze umakini hasa kipindi hiki cha sikukuu na anaendelea kusema madereva huwa wanajisahau wakiwa barabarani.. NI kama anataka kumpiga Mkurugenzi mawe ila Anaogopa asije haribu, shuhuda mwingine anasema madereva hawana umakini hasa wakiwa ni ukoo wa...
  5. Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata alipokuwa jukwaani

    Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata akiwa jukwaani Wanaijeria wamedai kuwa muondoko wake akiwa stejini unafanana na wa G*Y huku wakidai shutuma zake juu ya P Diddy zilikuwa za kweli na wala hawahisi kama walimuonea Wengine wamedai mtu akishakuwa...
  6. Bilionea Ratan Tata amwachia urithi wa takriban Tshs 267 Bilioni mbwa wake

    Bilionea wa India, Ratan Tata, aliyefariki mapema mwezi huu akiwa na umri wa miaka 86, ameacha kiasi "kikubwa" cha utajiri wake wa pauni milioni £91 kwa mbwa wake mpendwa, Tito. Ratan Tata, magnate wa biashara anayesimamia chapa za Jaguar, Land Rover, na Tetley, kupitia wosia wake amemwacha...
  7. Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  8. A

    Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  9. A

    Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  10. TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa TATA GROUP (Ratan Tata) afariki dunia

    Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga. Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital...
  11. Pre GE2025 Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka...
  12. Yupo wapi Cyprian Musiba?

    Kwa wale wanamkumbuka huyu jamaa iikuwa haipiti wiki anakuja na nondo hatari. Je, yupo wapi siku hizi hata magazeti yake pia hayasikiki sana, yupo wapi?
  13. Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka. Video imeambatanisha. NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
  14. Watoto wenye jinsia tata wafanyiwa upasuaji Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upasuaji wa mfumo wa mkojo na haja kubwa kwa watoto 31 na kati ya hao sita walizaliwa na jinsia tata, ambapo upasuji huo umefanywa na Madaktari Bingwa wa MNH kwa kushirikiana na wataalamu kutoka nchini Ireland na mwingine kutoka Bahrain. Akizungumza na...
  15. Kauli Tata ya Mkuu wa Majeshi kwa Wakimbizi

    Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi? Wakimbizi wakishakua raia by...
  16. Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, CCM waanza kutoa kauli tata

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa. Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao...
  17. Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
  18. K

    Rais Ruto atoa kauli tata katikati ya kutekwa kwa billionea wa kihindi

    katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa la Kenya,dokta Ruto ameomekana kufurahishwa na kitendo cha kutekwa kwa billionaire wa Kenya mwenye...
  19. Naomba ABC za hii gari aina ya Tata

    Ninekuja hapa mbiombio, Kuna pahala nimeona wanaitangaza hii mashine. Nahitaji kujua machache kuhusu hii gari. Mahitaji yangu ni Gari yenye kubeba Tani 15 Gari inayo himili njia ngumu rough road Gari inayo himili milima mikali Ipaende na mzigo tani15
  20. K

    Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

    1. Mama: Naongea na wewe unajifanya kukaa kimya siyo? Mtoto: Lakini mama...... Mama: Nyamaza, yaani mimi naongea na wewe unaongea? 2. Haya nenda kacheze halafu uchelewe kurudi. (Kakwambia uchelewe sasa ole wako uchelewe) 3. Baada ya kumuogesha mtoto eti anamwambia halafu ukajichafue tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…