Imekua kawaida sasa simba hii ya sasa yaani msimu huu kuwa na wakati mgumu kuliko pengine wakati wowote ndani ya miaka mitatu iliyopita.
Simba sasa imekua inashindwa kutengeneza chance za kufunga. Mastraika hawafungi, timu imedorora.
Uwezo wa Simba tuliouzoea haupo tena. Simba ya sasa ushindi...