tatizo ajira tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mnawaambia vijana wajiajiri wakati nyie mmeshindwa kujiajiri mmeomba Ubunge

    Tega sikio msikilize! Mnawaambia vijana hawana ajira wajiajir wakati nyie mmeshindwa kujiajri mmeomba ubunge, wote hapa mmeshindwa kujiarijiri wengine ni Maprofesa mmo humu, mmeomba ajira kwa wananchi ya Ubunge. Pia soma: Viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…